Zanzibar: Serikali yazuia Mazao ya Ndizi kutoka nje, ndizi za Veronica Mwanjala kuharibiwa ili kuzuia Magonjwa

Hebu nioneshe rais wa bara
 
Mwenyekiti Wa Kijani Taifa Kimya Sana
Hivi soko la ndani ya Zanzibar na Bara ni ipi? Hapohapo Rai wao leo amewatangazia kuagizwa mchele kuanzia tani 30 kutoka ng'ambo badala ya tani 3 au 5 wanazoagizaga ili kupunguza mfumuko wa bei.
Bila Shaka mchele Huo hautatoka Bara kwa mantiki hii.
 
Mbona mnakuwa wajinga. Bidhaa za kilimo ambazo si za nafaka, embe, ndizi na matunda mengine na mboga mboga ukileta znz au ukileta Tanzania bara zinahitaji kibali maalum. Kama huna hicho basi ni kosa kuingiza.

Hivi hamjiulizi kwanini maji ya kunywa ya znz huyakuti Tanzania Bara au sukari ya Znz si ruhusa kuingiza Tanzania bara. Wacheni mihemko ya kipuuzi na ujuaji ambao unatokana na ujinga wenu. Na kuchochea zana potofu kwa sababu mama yupo raisi na mzanzibar. Tangu mwenda zake yupo madarakani huwezi kuiona ndizi kutoka Tanzania bara ikiuzwa Zanzibar.

Tafuteni jengine
 
Tumekusikia?

Kwa hiyo sheria ni kutaifisha mtu akivuka na ndizi na faini juu!?

Wazanzibari mnabebwa kila kona umeme mlisamehewa, ardhi mnatumia yetu
mikopo ya bara inaenda kujenga Zenj analipa mbara, nyie mnakula urojo tu.
 
Tumekusikia?

Kwa hiyo sheria ni kutaifisha mtu akivuka na ndizi na faini juu!?

Wazanzibari mnabebwa kila kona umeme mlisamehewa, ardhi mnatumia yetu
mikopo ya bara inaenda kujenga Zenj analipa mbara, nyie mnakula urojo tu.
Umeme hatujasamehewa. Ile ilikiwa ni haki yetu. Mnauuza umeme kwa nchi jirani bila ya kutoka VAT. Lakini miaka yote mlikuwa mnaiuzia umeme Znz huku bei yakena include VAY ndiyo. Maana Znz wakagoma kulipa VAT. Kwa hivyo kilichosamehewa ni deni la VAT ambalo halikutakiwa kulipwa at first place. Kamtafute Ndungai YouTube utapata kujua na kutoa ujinga? Mnakumbuka si mlichoma vifaranga nyinyi. Kumbuka kilimo si mambo ya muungano shuba miti were!!
 
Wadogo zangu mnapotukanana mnawakosea heshima babu zetu waliofanya muungano!!!!Au mmezaliwa miaka ya 90,s!!!!Sera za ASP na TANU ni umoja na mshikamano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…