Zanzibar: Serikali yazuia Mazao ya Ndizi kutoka nje, ndizi za Veronica Mwanjala kuharibiwa ili kuzuia Magonjwa

Ofisi ya Haki ya Askofu Mwamakula imepokea taarifa kuhusu Veronica Mwanjala ambaye ni mama mjane na mjasiliamali kutoka Dar es Salaam kunyang'anywa ndizi zake kwa amri ya Waziri wa Kilimo wa Zanzibar.
Utasikia watasema ukabila
Kaza kamba Mhashamu
 
wakati mwingine unajiuliza mpaka unakos amajibu. idadi ya wazanzibari ni ndogo sana ukilinganisa na wakazi wa mkoa mmoja mmoja wa kama rukwa, njombe,iringa, katavi ambayo ni jirani na mbeya ambako ndizi zinatoka na ni soko kubwa lisilo na longolongo, badala yake unaamua kupeleka bidhaa katika soko risky lililojaa ubaguzi wa kitabaka na dini kama zanzibar?
 
Faida za Muungano hizo.
 
Duuhh ndio maana Kisukar na shinikizo la damu vipo juu hapa Zanzibar
 
Hii thread inaonyesha ni jinsi gani watu wa bara ni wabinafsi wa kiwango cha juu kabisa.

Wanzanzibar walikukataa huu muungano kwa sababu zao lakin mwisho wa siku wakapewa kesi za ugaidi na kufia mahabusu za tanzania bara.

Leo hii mtu kakengeuka sheria basi mijitu ya bara yote hayataki muungano kwa kuwa yanaguswa

Huu ni upumbavu wa kiwango cha juu sana ,wacha niseme ni upumbavu na ubinafsi

Kitu kama hatukitaki basi tuseme hatukitaki sote ,sio hadi tunasubiri matokeo yake
 

Taratibu mambo yatakaa sawa,zenji lazima iwe mkoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…