Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kinachokuchekesha ni kipi hapa sasaHahaha....... banana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinachokuchekesha ni kipi hapa sasaHahaha....... banana
Utasikia watasema ukabilaOfisi ya Haki ya Askofu Mwamakula imepokea taarifa kuhusu Veronica Mwanjala ambaye ni mama mjane na mjasiliamali kutoka Dar es Salaam kunyang'anywa ndizi zake kwa amri ya Waziri wa Kilimo wa Zanzibar.
Llłlllllölöllllööllölööllöllåå
Kwani wafungwa siku hizi hawalimi?
wakati mwingine unajiuliza mpaka unakos amajibu. idadi ya wazanzibari ni ndogo sana ukilinganisa na wakazi wa mkoa mmoja mmoja wa kama rukwa, njombe,iringa, katavi ambayo ni jirani na mbeya ambako ndizi zinatoka na ni soko kubwa lisilo na longolongo, badala yake unaamua kupeleka bidhaa katika soko risky lililojaa ubaguzi wa kitabaka na dini kama zanzibar?Hii ni mojawapo mfanyabiashara wa bara anyang'anywa tenga 30 za ndizi na faini ya shilingi 50,000 kwa kosa la kuingiza ndizi Zanzibar
View attachment 2503108
USSR
====
Alichoandika Askofu Mwamakula katika Ukurasa wake wa Facebook
MJANE WA DAR ES SALAAM ANYANG'ANYWA TENGA 30 ZA NDIZI ZANZIBAR KWA AMRI YA WAZIRI WA KILIMO WA ZANZIBAR!
Ofisi ya Haki ya Askofu Mwamakula imepokea taarifa kuhusu Veronica Mwanjala ambaye ni mama mjane na mjasiliamali kutoka Dar es Salaam kunyang'anywa ndizi zake kwa amri ya Waziri wa Kilimo wa Zanzibar.
Veronica Mwanjala ni mama wa watoto 2 na mjane kwa miaka 9 sasa. Tarehe 30 Januari 2023 alisafiri na meli ya usiku kutokea Dar es Salaam kwenda Zanzibar kupeleka biashara ya ndizi za kuiva. Asubuhi tarehe 31 Januari 2023, alipofika bandarini, mzigo wake ukalipiwa lakini baadaye mzigo wake ukazuiwa getini. Sababu zilizotolewa ni kuwa ndizi za kuiva au ndizi za aina yoyote haziruhusiwi kuingia Zanzibar kwa sababu soko la ndani linajitosheleza.
Kwa amri ya Waziri wa Kilimo ambaye alifika eneo la tukio maofisa wa Wizara ya Kilimo wa Zanzibar kwa kushirikiana na maofisa wengine kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar walichukua na kutaifisha ndizi zake tenga 30 na kupeleka kwa wafungwa. Pia, walimlipisha faini ya shilingi 50,000 kwa kile walichokiita kuwa ni kosa la kuingiza ndizi Zanzibar.
Hivyo, mama huyo amepoteza ndizi zake tenga 30, amepoteza nauli yake ya kwenda Zanzibar na kurudi Dar es Salaam, amepoteza pesa ya kulipia mzigo, amepoteza pesa shilingi 50,000 aliyolazimishwa kulipa kama faini, amepoteza mtaji wake. Akirudi Dar es Salaam atakumbana pia na shida ya kudaiwa pesa kutoka kwa watu waliomkopesha mtaji.
Sisi Askofu Mwamakula tunatoa wito kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuona jinsi ya kushauriana jinsi ya kutatua tatizo hilo na kumsaidia mama huyo arudishiwa ndizi zake na pesa ya faini alizolipa. La sivyo, kama ndizi zimetumika, basi mama hiyo arudishiwe pesa ya tenga 30 ya ndizi kwa bei ya kule alikokuwa akipeleka ndizi hizo kama ni hotelini au sokoni.
Video ya hapa chini inaonesha maofisa wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakichukua ndizi. Video nyingine inayomuonesha Waziri wa Kilimo wa Zanzibar akiingia katika eneo la tukio kutoa amri ya kutaifisha ndizi tumeihifadhi, ila tunaweza kuiweka hadharani kama suala hili halitashughulikiwa kwa wakati.
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Faida za Muungano hizo.Hii ni mojawapo mfanyabiashara wa bara anyang'anywa tenga 30 za ndizi na faini ya shilingi 50,000 kwa kosa la kuingiza ndizi Zanzibar

Huyo Raisi kawekwa hana menoHiyo ni kazi ya raisi wenu na ma ccm
Kwani wafungwa siku hizi hawalimi?Acha kujidharirisha utaonekana punguani,hao viongozi wa zenji wamekosea sana.
Kwani wafungwa siku hizi hawalimi?
Kipo Mahonda.Mbona mnahamisha magoli zanzibar wanakiwanda cha sukari!?
Angalia context ya unachokisema kabla ya kusema.
Ile sukari sio ya Zanzibar ni ya nje
Duuhh ndio maana Kisukar na shinikizo la damu vipo juu hapa ZanzibarZanzibar hawana sukari, Wafanyabishara wa Zanzibar wanaagiza sukari nje ya nchi iliyo kwisha muda wa matumizi kisha wanaibadirusha na kuipaki kwenye mifuko ya kiwanda cha Zanzibar ili ionekane imezalishwa Zanzibar .
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hao ni majambazi tuSoko linajitoshereza yet wanaenda kuwagawia wafungwa? Si wangezitupa baharini kama hakuna walaji .
Labda wanakula askari wavamiziSasa kama wanalima mbona walipelekewa hizo ndizi ambazo wadai zenji hakuna uhitaji wa ndizi mana zinajitosheleza.
Labda wanakula askari wavamizi
Hii thread inaonyesha ni jinsi gani watu wa bara ni wabinafsi wa kiwango cha juu kabisa.
Wanzanzibar walikukataa huu muungano kwa sababu zao lakin mwisho wa siku wakapewa kesi za ugaidi na kufia mahabusu za tanzania bara.
Leo hii mtu kakengeuka sheria basi mijitu ya bara yote hayataki muungano kwa kuwa yanaguswa
Huu ni upumbavu wa kiwango cha juu sana ,wacha niseme ni upumbavu na ubinafsi
Kitu kama hatukitaki basi tuseme hatukitaki sote ,sio hadi tunasubiri matokeo yake
..in mama samia's voiceNa hili nalo mkalitizame
Bado miaka miwili tupumzike na wazanzibar.Kwani mjane ndio hapaswi kufata sheria na kanuni?
Mnangoja nini kupumzika hata leo?Bado miaka milili tupumzike na wazanzibar.
Muendelee kuupigania muungano hata raisi akiwa mbara