Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Tunangoja aondoke mama yenu.Mnangoja nini kupumzika hata leo?
Wewe wa kanisa lipi?
Muislam wa bara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunangoja aondoke mama yenu.Mnangoja nini kupumzika hata leo?
Wewe wa kanisa lipi?
Hao ni majambazi tu
Mama yako yupo, au alishaondoka?Tunangoja aondoke mama yenu.
Muislam wa bara
Muulze bibi yakoMama yako yupo, au alishaondoka?
Kazi ya Mungu haina makosa.
Bibi yangu hapeleki ndizi Zanzibar.Muulze bibi yako
Kamuulze waziri wakoBibi yangu hapeleki ndizi Zanzibar.
Waziri wangu wa kilimo ni Hussein Bashe.Kamuulze waziri wako
Ndio maana mnaongoza kwa kufeliWaziri wangu wa kilimo ni Hussein Bashe.
Wewe ambae hujafeli una lipi la kujivunia?Ndio maana mnaongoza kwa kufeli
Alilipia vibali vyote hakuna sheria aliyovunja comradeKama utaratibu haukufuatwa Sheria ichukue mkondo wake haiwezekani kila mtu akajiamulia kuvunja Sheria
Tutakimbiza warudi kwao kwa kuogeleaznz ni wanafiki sana wamejaa bara huku wakijichukulia maeneo kuna siku itakuja kufika tamati
Nakubaliiii , hii muungano nye nye nye ni siasa tuZanzibar ni nchi huru huu muungano ni mambo ya siasa na michongo uchwara.
Bashe ni nani Zanzibar? Kule hajulikani akienda ni kama wewe na mimi tuKwani Bashe ni muunguja?
Najivunia sina ujinga kama wenuWewe ambae hujafeli una lipi la kujivunia?
Hapo nimekuelewa, sasa ujinga ni wetu, wewe unakukera nini?Najivunia sina ujinga kama wenu
Unayejitoa akili ni wewe , Kama vile huelewi kuwa kuna uvamiziAcha kujitoa akili.
Kawaambie chadema , umechelewaTaratibu mambo yatakaa sawa,zenji lazima iwe mkoa.