Zanzibar: Simai Mohamed Said, Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale ajiuzulu siku mbili baada ya kutangaza uhaba wa pombe kwenye hoteli na migahawa

Daah sasa mnataka Utalii bila Pombe wakati hiyo Pombe wanakunywa hao wanaowaletea dollars...
 
Zenj wanafiki wa kifini wengi sana.
 
Tatizo Wazanzibari wanata viziwa viwe islamic states. Mahoteli ya kitalii yawepo lakini watalii wasitumie kilevi chochote wakiwa visiwani.
Wawe wanawaambia watalii, Zanzibar siyo bar, lewa huko kwenu ukija Zanzibar kula raha zingine, lakini pombe marufuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…