Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngumu kuwapata hao na ukiwapata hawatakuwa na radhakwa wanaoishi zenj, wapi unaweza kupata kununua samaki wa maji baridi?
Huyo anataka kwenda kupiga mtu huko PMMkuu si myajenge hapa hapa tunufaike wote
Hakika.Huyo anataka kwenda kupiga mtu huko PM
Suala la viwanja ni Jipu ndugu, sheria haziruhusu mbara amiliki, Ila ni kweli wapo wengi wananunua na wanajenga. tumezoea kuishi kimazoea, ila ni bora mtu awe makini. huko mbeleni hujui kinachoweza kutokezea.Wakuu suala la viwanja hakuna sheria inayomkataza mtanganyika kumiliki kiwanja, mie binafsi nimeuziwa kiwanja na mtanganyika na ndio yalipo makaazi yangu mpaka muda huu naandika
Maeneo mazuri kwa kununua kiwanja kwa sasa ni KISAUNI, MAUNGANI, FUONI, MWERA, KIANGA, KIJICHI
Mkuu nielezr kidogo kuhusu biashara ya vinyago Zanzibar. Na gharama za maisha Zanzibar..?Unataka kujua nini kuhusu Zanzibar nitakujibu.
Mkuu mimi natamani kujua fursa za biashara za vinyago na vyakula.Wakuu nimeona nichangie kidogo kwa vile mimi ni mzaliwa na mkaazi wa Unguja
Nimesoma coment nyingi ila nimeona baadhi ya watu hawajui Zanzibar ni muunganiko wa vusiwa viwili UNGUJA NA PEMBA
Mostly watu wa bara wanapoesama Zanzibar huwa wanakusudia Unguja sababu ndio kisiwa baba kati ya hivo viwiwili
Wakuu suala la viwanja hakuna sheria inayomkataza mtanganyika kumiliki kiwanja, mie binafsi nimeuziwa kiwanja na mtanganyika na ndio yalipo makaazi yangu mpaka muda huu naandika
Maeneo mazuri kwa kununua kiwanja kwa sasa ni KISAUNI, MAUNGANI, FUONI, MWERA, KIANGA, KIJICHI
Kiwanja cha wastan wa nymba na fensi kwa maeneo tajwa hapo ni around 8m- 20m
Mkuu mmoja amegusia kuhusu ubinafi/ubaguzi akatolea mfano kukodi chumba ngumu kama ni mtu wa bara. Mkuu hapana sio kweli, Unguja anaejenga kwa ajili ya kukodisha basi taget yake ni watu wa bara sababu waZanzibar hawana utamaduni wa kukodi na wazazi hawaruhusu watoto wao kukodi, wakati mwengine hata baada ya kuoa still atakaa nae kwakwe mpaka atakapopata makazi yake.
Gharama za maisha ni juu kidogo kulinganisha na bara sababu kubwa ni kua zanzibar hakuna kilimo
90% ya mazao(chakula) zanzibar ni import kutoka bara(mikoani) mf mchele maharage kunde mtama nk
Maji ya 1.5lt dar 500 Unguja 1000
Umeme dar ni nafuu unit kulioko Unguja hii ni kutokana na kua Unguja wananunua umeme kutoka bara, na mengineyo
Guest zipo zote Za kilocal na za VIP (kuna guest mpaka za gorofa) bei sina hakika nazo mtanisamehe bure
Mimi ni mfanya biashara mdogo sana ambae biashara yangu inatekemea pande zote mbili (bara na Zanzibar) hua nasafiri kuja dar mostly mara mbili kwa mwezi
Kama unaplan ya kutalii ZANZIBAR kua huru kuniuliza chochote
Tusipromote chuki hasa jambo ambalo unaliskia tu hujawai shuhudia.
Shukran
Mkuu mimi natamani kujua fursa za biashara za vinyago na vyakula.
Mkuu nielezr kidogo kuhusu biashara ya vinyago Zanzibar. Na gharama za maisha Zanzibar..?
General, kuanzia mkahawa na raw foodsvitu kama mbogamboga na matunda.Mkuu unapozungumza vyakula una maana ya mkahawa au food staff yani bidhaa zenyewe?
General, kuanzia mkahawa na raw foodsvitu kama mbogamboga na matunda.
Asante mkuu..!Mkahawa ni biashara nzuri, Kuhusu mbogamboga na matunda sina uhakika ni bidhaa gani wanatoa kutoka bara, Ila Nahisi Nazi, Viazi, Vitunguu Maji huwa vinatoka bara
Hawana shepuHuwa napenda sana mwanamke wa h kizenji awe ananukia udi hadi kwenye papuchi[emoji30][emoji30]