- Thread starter
- #141
hilo ni kweli kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka mie nataka kuja zenjii kutafuta life ,je ni vitu gani vya kuzingatia , na je hata nikijlipua Kuna maeneo ya kudozii kipiindi najipangaChokochoko ya nini mkuu?
Maybe ucheki za mbali na townMwenye connection za nyumba za kulala wageni atupe location, Kipindi hichi cha December kupata guest house Zanzibar ni shida sana kila unapikwenda kupo full.
Njoo upange kaka,Mwenye connection za nyumba za kulala wageni atupe location, Kipindi hichi cha December kupata guest house Zanzibar ni shida sana kila unapikwenda kupo full.
Njoo upange kaka,
700$ kwa mwezi..
Two bedrooms
Full furniture
WI-FI
Air condition
Parking ya kutosha
Karibu kabisa na bahari.
Michamvi karibu na konokono hotel,Ni maeneo gani hii mkuu?
Kaka mie nataka kuja zenjii kutafuta life ,je ni vitu gani vya kuzingatia , na je hata nikijlipua Kuna maeneo ya kudozii kipiindi najipanga
Mkuu Tate Mkuu mchokozi sana rafikiViwanja vya makazi vinapatikana huko Zanzibar? Na bei ni shilingi ngapi kama vipo?
Pale gorofani kwa babu?Kama ni town kuna guest ipo darajani ni 20000 na 25000 hamna masharti yoyote
Kuna maeneo mawili hivi maarufu! Moja lipo katika barabara ya Chukwani ni walking distance toka kwa Jastuma.KITIMOTO WANAKAANGA MITAA IPI ZENJI
Wanzinzibar wabaguzi sana siku nikipata cheo nawaondoa wote bara nawarudisha kwao muungane gani wakati wenzetu wanajiona waarabu walimzui mwakinyo juzi asiende kupigana na sisi tumeanza kwa kuzarau na kupuuzia mashindano yao ya mapinduzi wacheze wenyewe.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Hivi huo "urojo" ndio chakula kinachofananaje?Utakua unakula tu urojo bila shaka!! 🥣 Mimi huo hata kwa viboko sili!!! 🥵
Kifupi kuna billionaire wa kipolish amenunua hotel ndogo ndogo nyingi..wasimamiaji wake wakampiga pesa,wafanyakazi wakawa wamefanya muda mrefu hawalipwi..zikatokea vurugu kadhaa wa kadhaa,wakugoma wakagoma...kuna yoyote anaejua sakata la Hoteli za Pilipili? nini hasa kilichotokea na nini kinachoendelea?
TODAYS Ambition plus
Huko Zanzibar vibarua vinapatikana sehemu zipi hasa na mtu akienda ni uhakika kupata.