AFRICAN BOYI
Senior Member
- Dec 9, 2019
- 119
- 338
mkuu vipi umefanikiwa hatua yoyote?
Asante sana mkuu.Madame B
Lodge Zanzbar ni bei ghali sana, maeneo ya Mjini wanaita mlandege bei zake ni kwenye 70 -100 Tsh, stone town ni kwenye 200 umo, nje ya mji kidogo nahisi 25 - 40. Ila zipo nyengine un official maeneo ya mjini bei zinacheza kwenye 40 humo.
Ukishakuwa tayari naweza kukuulizia kwa wadau wakaribu tukata uhakika zaidi
Yaani mie suala la umbali wala si tatizo kwangu.Madame B
Kuhusu nightclubs na Bar na mausala ya kuruka nyoka kiujumla, Kunakuwa na zile wanaita beach party Mashamba, ila nimaeneo ya wazungu wengi kwa hiyo hotel zinakuwa ni bei sana mara nyingi zinaanzia 150$ kwenda mbele
Ila kuna moja famous wanaita fullmoon party Kendwa nahisi ni ile aliyofanya bidada Zuchu kile kituko chake karibuni hua inakuwa kipindi cha kati ya mwezi kila mwezi. watu wengi wanasifia sana huko ila binafsi mimi sijawahi kwenda. subiri nitafute wadau humu wazoefu niwa quete wanaweza leta maelezo ya ziada.
Yaani mie suala la umbali wala si tatizo kwangu.
Najua nitapata tu connection maana Zanzibar kuna rafiki zangu kule, wamesema wanakaa sehemu inaitwa aidha Shambani au Porini sijui....
Nilijaribu kupeleleza, nikaambiwa eti huko ni kwa makahaba na Malaya..🤷
Yaani huko maporini sijui mashambani hakufai.
Japo sipajui.
Duh!Nahisi itakua ni Maeneo ya Mashamba, Mengi hayo ni maeneo ya Kitalii kwa hiyo huwa na wazungu wengi sana, kwahiyo wabongo wengi wanaokaa maeneo hayo huwa ni ma vampire kinoma kabisa. huko ni Umalaya tu.
Duh!
Basi kweli maana hao rafiki zangu ni mabandidu balaa.
Kwani wewe unaishi Zanzibar?
Okay,Yah, ila ni mtu wa harakati za hapa na pale so mda mwengine huwa nakuwa Dar.