Zanzibar vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana

Zanzibar vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana

Nilichoelewa hao vijana wameharibika, huko nyuma hawakuwa hivyo
 
Hata bara kumeharibika sana,, hususani dar na arusha. Mashoga walioko bara c ajabu ikavuka idadi ya mashoga walioko zanzibari.
Umejuaje au wewe ndio mwalimu wao acha ujinga..mtoa mada kasema wewe unapinga kitu gani.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Hiyo Zanzibar unayo sema ni uongo. Nimefanya kazi 2020 miezi kumi hakuna cha kutisha kiasi hicho. Ni kama nilipoona Dar Tanga Na Arusha.

Kuna tatizo la ajira huko na serikali zilizopita hazikusaidia vijana . Zanzibar sio multicultural kama bara hivyo ku generalize kwa sample ndogo hivyo ni possible ila sio reliable.

Zanzibar kuna afadhali kubwa sana kimaadili kuliko bara.
 
Ajabu sehem zilizojaa waarabu ndo zinaongoza Kwa ushoga eg. Zenji
Na Hakuna watu wanapenda Tigo kama waarabu
Acha ushabiki wewe unadanganywa na wazungu kuwa na akili za kufka sehemu zenji wanategemea utalii wazunvu wapo kibao kule punguza chuki nenda kaone
 
Hiyo Zanzibar unayo sema ni uongo. Nimefanya kazi 2020 miezi kumi hakuna cha kutisha kiasi hicho. Ni kama nilipoona Dar Tanga Na Arusha.
Kuna tatizo la ajira huko na serikali zilizopita hazikusaidia vijana . Zanzibar sio multicultural kama bara hivyo ku generalize kwa sample ndogo hivyo ni possible ila sio reliable.
Zanzibar kuna afadhali kubwa sana kimaadili kuliko bara.
Utawadanganya wasio ijua zenji..watoto laini laini wala urojo..

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna kabinti nilikuwa naishi nako mtaa mmoja pale moro enzi zile japo kalikuwa mcharuko dizaini fulani ila sio sana

Kalifeli 4m4 kakawa kanafanya kazi huku na huko .

Nikaja sikia kameibukia zanzibar kanafanya kazi hotelini

Sasa juzi kati kamerudi moro mama yake amedanji nikapata taarifa kamebadilika mbaya sana

Kwanza amenawiri kidogo msabwanda umefutuka kajichora matattoo Yale permanent mwili mzima ,katoga sikio lote na pua juu yaani full gangsta sijui ucharuko

Kwenye msiba mamake anavaa mavitenge anajificha ficha ila watu washamshtukia .

Huko Zanzibar nahisi "anauza" hafanyi kazi hotelini
 
Wameharibika...wameharibika..wameharibika
Wameharibika nini? Umeandika maneno mengi lakini hayana pointi ya msingi.
 
Umejuaje au wewe ndio mwalimu wao acha ujinga..mtoa mada kasema wewe unapinga kitu gani.?

#MaendeleoHayanaChama

Wapi nimepinga!!! Population ya zanzibar na bara je, zinalingana? Kwanini wacwe wachache kutokana na population yao!!
 
Mashoga mbona wapo wengi sana hata huko kwenu usukumani.
Usukumani ya wapi? ya Mombasa au.....Mtu mwenye marinda yake anashika jembe la ng'ombe mpaka ushuzi unatoka je kama marinda yamefumuliwa si ndio utumbo mnene na mwembamba vitaninginia kwenye suruali!
Wasukuma ndio jamii iliyobaki na wanaume imara duniani!
Pumzika kwa amani JIWE, ungekuwepo Tony Brair angekuja kutalii tu na kuondoka ila sasa hivi ndiye katibu mwenezi wa Ikulu!
 
Back
Top Bottom