Zanzibar vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana

Mkuu point yako ya msingi ni hipi? unarudia rudia maneno tu!
 
"Wanaharibiwa"vipi kwani wanalazimishwa?
 
Mbona hujasema wameharibikiwa vipi
 
Arusha, Tanga, Uguja, Dar na Dodoma aisee Mungu awapiganie vijana wamepotea

Halafu mademu wa Zanzibar na Tanga hawataki kabisa umle bila kumgeuza anaona Kama unamkosea heshima.

Mungu atunusuru!!!
huu wako ni uongo sasa...we ulisikia wapi? Acha kutuchafulia madada zetu, mama zetu na wake zetu wa kizanzibari...hiyo ni tabia ya mtu individual na sio wote.
 
Mtoa mada ni mpemba..Kwani hujui hao vijana unaozungumzia wote ni kutoka Pemba
 

ivyo vitendo vipo hata makka sio tel -aviv
 
Bro mbona hueleweki
Nini kipya, sisi tunaishi Zanzibar mwaka wa 7 sasa
Au wewe umeenda chimbo gani mana hata point zako hazina mshiko
 
Ukisema znz ni Pemba na Unguja

Unguja ni kweli imeharibika sana haswa kwenye masuala ya ushoga

Ila pemba bado iko salama sana nafikiri ni kutokana na misimamo yao mikali na kuweka taratibu za kulinda maadili yao

Kuna kipindi nilikuwa kule siku ya sikukuu tulienda beach moja inaitwa vumawimbi beach,tulijiachia na nguo zetu za kuogelea wakaja mashekh na viongozi wa kijiji wakasema marufuku mwanaume au mwanamke kuoga na nguo fup yaan utafute track,jinzi au suruali ndio uogelee pia kama unataka uoge na mwanamke muonyeshe cheti cha ndoa.Tulileta ubishi tukachezea sana fimbo,tukaenda polisi kushtak tukaambiwa ilitakiwa tufuate taratibu za kijiji hivyo tukajifunze upya sheria za hapo.

Miaka sita sasa imepita sijaenda tena,wapemba pia ni wakarimu sana kwa wagen hata kama huna mwenyeji utapata pa kuishi na utapewa hadi shamba ulime na hawana ubaguzi kama utaishi nao vzr.Ila kwenye kuoa ndio pagumu huwez kupewa mke kama haujamaliza miaka kumi labda uwe na mzee mwenyeji wako akupiganie sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…