Hivi unaelewaje unaposikia neno MAENDELEO?Watz wakisema wanataka maendeleo yao wala sio vitu hapo utasemaje? aacha demokrasia ifuate mkondo wake hayo ndio maendeleo, maendeleo ya enzi za hitler, makaburu, Ghadafi nk watu hawataki kwahiyo usilazimishe mambo.
Maswali ya wana CCM Mpya bwana! We unaona kuna Swali hapo?? Unaambiwa alikuwa maeneo ya Kambi ya Jeshi sio kuwa alienda Jeshini.Jibu swali alifuata nini kwenye Kambi ya Jeshi?
Ya kwako itangulie kumwagika hapo sawaBila ....... kumwagika, hakuna kitachobadilika Bara na Visiwani
Kutekana kuuana sio sifa ya watanganyika
Zanzibar damu itamwagika.wajiandae kujibu mashtaka
Anga limewakataa mnatapatapaEndeleeni kujiteka tu lakini tarehe 28/10/2020 mtanyooka tu.
Zimeletwa toka Burundi hizi na wahamiajiKutekana kuuana sio sifa ya watanganyika
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala