Wana elimu,elimu uleta ujasiri,na mbinu za kupambana na wahuni.Maana Kama vyombo vya dola wakianza kufanya vitendo vya kihuni vya kukiuka sheria na kanuni ziwaongozao ugeuka kuwa ni genge la wahuni ambalo yafaa sasa kupambana na wahuni na zipo njia nyingi za kuwadhibiti wahuni hata Kama wamekuja na silaha za Moto.Hivi Nigeria wamewezaje?!
Tufunge na kusali Kwa ajili ya ZanzibarKama hakuja external military intervention/strong diplomacy, kuna maafa makubwa yanakuja
Zanzibar nao wanapiga yowe?!Wana elimu,elimu uleta ujasiri,na mbinu za kupambana na wahuni.Maana Kama vyombo vya dola wakianza kufanya vitendo vya kihuni vya kukiuka sheria na kanuni ziwaongozao ugeuka kuwa ni genge la wahuni ambalo yafaa sasa kupambana na wahuni na zipo njia nyingi za kuwadhibiti wahuni hata Kama wamekuja na silaha za Moto.
Mfano hao wahuni waliokuja hapo znz ingepigwa yowe wakazingirwa pande zote na asitoke mtu kwa maana wamekuja Kama wahuni.
Inabidi taarifa ziwafikie @UNSC fasta!Kama hakuja external military intervention/strong diplomacy, kuna maafa makubwa yanakuja
Mnaiba hadi ndala, njaa zitawauwa kunguru nyieEndeleeni kujiteka tu lakini tarehe 28/10/2020 mtanyooka tu.
Kwani Lugalo nje hakuna barabara ya kwenda Bagamoyo?Jibu swali alifuata nini kwenye Kambi ya Jeshi?
Nimekutana nayo tuView attachment 1611605