Zanzibar: Viongozi wa ACT-Wazalendo ndani ya SUK hutumia Ilani ya CCM kuendesha serikali.

Zanzibar: Viongozi wa ACT-Wazalendo ndani ya SUK hutumia Ilani ya CCM kuendesha serikali.

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Waziri wa Afya Nassor Mazrui (ACT-Wazalendo) akimkabidhi ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Riziki Pembe Juma (CCM) wakati wa makabidhiano ya ofisi. Awali Mazrui alikuwa waziri wa Afya Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto.
0D7CC84E-69F6-47B3-80D8-202074858CFE.jpeg


================
Ikiwa viongozi wa ACT ndani ya SUK wanatumia Ilani ya CCM kuendesha serikali, lini ajenda zao watazitekeleza.
================
 
Unayaulizia Majibu hayo Shekhe...! Haswaaa Ilani inayotumika ni Moja..
 
Siasa Siasani
Hakuna Jipya Ila Kula Usivimbiwe Tu
 
Wameshakua sehemu ya serikali, ilani lazima itumike moja....hiyo yao itatumika wakishinda kiti cha Urais.
 
Back
Top Bottom