Zanzibar: Wageni kutoka nchi tisa watafanyiwa vipimo vya haraka kabla ya kuingia

Zanzibar: Wageni kutoka nchi tisa watafanyiwa vipimo vya haraka kabla ya kuingia

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Wizara ya Afya ya Zanzibar imetangaza watu kutoka nchi tisa ambazo tayari zimethibitisha kuwa na maambukizi ya virusi vipya watalazimika kufanyiwa vipimo vya haraka kabla ya kuingia Zanzibar

Nchi zilizotajwa ni India, Uganda, Marekani, Uingereza, Peru, DR Congo, Afrika Kusini, Ufilipino na Brazil

1624438604435.png

1624438618397.png

1624438631295.png
 
Maajabu ya Mungu. Uganda kuna virusi ila Tanzania hamna.

Asante sana NYUNGU.
 
Kwani lazima waingie! Hata mufanye vipimo vya haraka? Fungia tu mpaka vitakapoisha acheni hizo
 
Maajabu ya Mungu. Uganda kuna virusi ila Tanzania hamna.

Asante sana NYUNGU.

Ni kwa sababu wenzetu wanatoa takwimu/ukweli

Huku hakuna cha takwimu wala cha mjomba wake statistics, so kuamini ugonjwa upo ni ngumu, mpaka yampate mmoja wenu katika familia ndio utaamini.. ..so mimi yamenikuta kwa watu wa karibu yangu na ikathibitika ni kweli wamekufa kwa covid19.

So, Corona ipo na watu wanakufa sana.. ..tuweni makini sana
 
Kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom