Ni kwa sababu wenzetu wanatoa takwimu/ukweli
Huku hakuna cha takwimu wala cha mjomba wake statistics, so kuamini ugonjwa upo ni ngumu, mpaka yampate mmoja wenu katika familia ndio utaamini.. ..so mimi yamenikuta kwa watu wa karibu yangu na ikathibitika ni kweli wamekufa kwa covid19.
So, Corona ipo na watu wanakufa sana.. ..tuweni makini sana