CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Walikuwa jela kwa miaka mitano..Nimegundua wadanganyika mnapenda sana siasa na kudanganyana. Hii mihemko ingekua mnaileta kwenye kujiletea maendeleo kwenye uchumi wa viwanda tungefika mbali sana. Yaani aidia ya dona kantri ya mkulu ingekua reality ndani ya miezi 6!
Umejitoa ufahamu vyema kabisa kwa nini nikalale bana ?Hao waliopigwa risasi wapo wapi?
Una uhakika gani kama hiyo risasi ni kutoka kwa askari? tutakuwa na uthibitisho upi kuwa hiyo sio siraha yake mwenyewe,au ametumia picha isiyohusiana na tukio lenyewe kuketa taharuki?tumia akili.
Usiache kwenda kupiga kura,rudi nyumbani baada ya kupiga kura.
Type source ya habari hizo na nani amethibitishaALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)
Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.
Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9
#ZanzibarLivesMatter
View attachment 1614174
Tena sanaaaa. HawajielewiHalafu ni verified ID ya ACT, bora asingeweka hiyo picha ya risasi ambayo haijatumika. Inaonyesha ujinga wake.
Type source ya habari hizo na nani amethibitisha
Taarifa nyeti na muhimu hivi haionyeshi nani kausema nani, nani shuhuda nani kahojiwa, hakuna picha wala clip
Please stop this nonsense.
Kama habari halo ni credible tuletee taarifa ya Polisi, au Daktari, Vyombo rasmi vya Habari au mahojiiano na ndugu au mashuhuda sio kuleta taharuki humu JF bila vielelezo
Acheni UJINGA huo..
Tunaumizwa sote

Tuambieni sababu ya wao kupigwa risasi na polisi. Kwanini wauawe wao pekee na si wengine? Kuna jambo lipo nyuma yaoALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)
Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.
Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9
#ZanzibarLivesMatter
View attachment 1614174
Uongozi ni kutangulia mbele wakufuate, Sasa kwanini viongozi wenu wa Chadema na ACT ni kama kunguru hawawezi kutangulia wao bali kuwatanguliza watu tu. Msioitii sheria bila shurti, damu za watu zitakuwa juu yenu kina Mbowe na genge lake.Hii damu inayomwagwa hii...
Taarifa za mtu kuuawa zinatolewa polisi na kuthibitishwa na daktari. Vinginevyo ni uhuni.ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)
Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.
Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9
ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)

Taarifa za mtu kuuawa zinatolewa polisi na kuthibitishwa na daktari. Vinginevyo ni uhuni.
Nini hii sasa? Ndiyo sababu ya wafiwa kutofika polisi kutoa taarifa ya kuuawa ndugu yao? Ajabu sana
Vyombo vya habari vya ndani haviripoti taarifa za mauwaji.Ndiomana tunazimiwa mitandao kwa upumbaf kama huu,mambo mazito kama hayo huwezi kuyaleta kienyeji namna hiyo.
Kuna watu hawatokwenda kupiga kura sababu ya kutiwa hofu, kwa ujinga kama huu.
Thibitisha hizi taarifa zako,otherwise stop this nonsense.
Ni kweli kabisaa, mie huwa najiuliza ni kwanini NYERERE kile kipindi cha vita ya IDD AMINI hakutangulia mbele yeye ili kumkabili adui badala yake akatanguliza watoto wa watu wengine!!!.Ni kwanini NYERERE alikuwa Kunguru hakuweza kutangulia??.Uongozi ni kutangulia mbele wakufuate, Sasa kwanini viongozi wenu wa Chadema na ACT ni kama kunguru hawawezi kutangulia wao bali kuwatanguliza watu tu. Msioitii sheria bila shurti, damu za watu zitakuwa juu yenu kina Mbowe na genge lake.
Kama aliweza kuokota risasi iliyo misfire akipiga picha alishwa nini kumpiga picha aliepigwa risasi?Unajifanya mjuaji huku hujui kuwa risasi inamissfire. Huyu ameonesha risasi ya moto iliyomissfire na kuwa ejected ili kuwaonesha wapuuzi kama wewe kwamba zinazotumika ni risasi za moto.