Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tumeona vyombo vya ulinzi vikiendelea kutumia nguvu kupita kiasi. Vyombo vya habari vya nchini viko silenced kuelezea mauaji yanayoendelea Zanzibar.
JamiiForums Ni jukwaa pekee ambalo TINATHUBUTU KUONGEA BAYANA.
Kuna nyakati chungu, mbaya na za aibu, lazima tuziseme.
Hizi Ni nyakati mbaya kabisa katika historia ya Taifa letu, tunashuhudia ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Mauaji, kuminywa kwa haki ya kupashana habari etc.
Hapa tutaendelea kuweka updates za majina ya waliouawa kwa risasi na majeshi ya nchi yetu.
Huu uzi najua JamiiForums mnaweza kuogopa kuuweka hewani, lakini siku moja (iwapo mtauweka,) mtakuwa chombo kikubwa Sana Cha habari na hakika mtaonekana Ni chombo huru kisicholalia upande wowote wa kiitikadi.