imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Unanitisha sasaHizi Link mod watakula kichwa sasa hivi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanitisha sasaHizi Link mod watakula kichwa sasa hivi!
Ushahidi mtakutana nao huko the Hague!Wekeni picha acha matusi kiazi wewe.
Mtoa post huna hayaALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)
Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.
Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9
#ZanzibarLivesMatter
Hawa wahuni wanafanya vurugu makusudi ili kupata sympath...kesho ndio tunaenda kupiga kura za kishindo kwa JPM..Tii sheria bila shuruti
Risasi ambayo haijatumika itauaje?
Chadema acheni siasa chafu
Kwanza hii ,jamiiforums nayo ingefungwaa tuPropaganda za kijinga, na ni uchochezi!
Kwa waliopitia jeshini hata mgambo wanafahamu kabisa kuwa unachokionyesha kwenye picha ni risasi nzima ambayo haijatumika!
Sasa anayedaiwa kuuawa kwa risasi hiyo alivurumishiwa kwa manati?
Halafu ni verified ID ya ACT, bora asingeweka hiyo picha ya risasi ambayo haijatumika. Inaonyesha ujinga wake.
Unafikiri jf mods nao ni Makada?Unanitisha sasa
We una nyege na Chadema nini? Uzi waanzishe ACT Wazalendo ila wewe unaona Chadema. Shithole!!Tii sheria bila shuruti
Risasi ambayo haijatumika itauaje?
Chadema acheni siasa chafu
Wanasiasa sio watu wazuri haijalishi wanatumia rangi gani kujinadi.Yote ni kulazimisha kutawala ,kama haupendwi tulia ,jitu ni litajiri lina kila aina ya investments ,mi account imejaa fedha za wizi lakini bado tu linaua watu liendelee kutawala yaani ni tabu tupu.
Mwenzake aliua wazanzibar mwaka 2000 ila tayari kashalala LUPASO.
Kukuta risasi nzima kwenye mapambano ni kawaida sana bro, kwahy kuona risasi nzima kusikufanye uamini kuwa ni propagandaPropaganda za kijinga, na ni uchochezi!
Kwa waliopitia jeshini hata mgambo wanafahamu kabisa kuwa unachokionyesha kwenye picha ni risasi nzima ambayo haijatumika!
Sasa anayedaiwa kuuawa kwa risasi hiyo alivurumishiwa kwa manati?
Dira ya dunia kupitia startimes saa3 wameripoti hii kituPropaganda za kijinga, na ni uchochezi!
Kwa waliopitia jeshini hata mgambo wanafahamu kabisa kuwa unachokionyesha kwenye picha ni risasi nzima ambayo haijatumika!
Sasa anayedaiwa kuuawa kwa risasi hiyo alivurumishiwa kwa manati?