Mocumentary
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 806
- 2,049
Hata mahakamani watataka ushahidi.picha zitakufurahisha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mahakamani watataka ushahidi.picha zitakufurahisha?
Wote tutakufa usiwe na haraka, mimi, wewe..Picha subir ukifa wewe
Ukionyeshwa maziko ndio utajua kuwa aliefariki ameuliwa na askari? Wacha ujuha wewe!Tunataka ushahidi wa picha, maziko sio porojo tu.
Kesho tunaifuta chadema, lisu kashawaaga leoSerikali ya ccm imekuwa wauaji sasa hawataki upinzani, tuwaadhibu kesho.
Basi kama hamtaki kuuweka hapa pelekeni ICC.Pumbavu kabisa wewe, ushahidi Kama ule wa gwajiuno akimkatikia kondoo wake ndio unaoutaka?
Huu ni uzushi! Kwa nini mnajifunza mambo mabaya kutoka kwa mgombea wenu, Antipasu !? Yaani mambo ya uongo, uzushi, kejeli, kujisikia, ujeuri na mengine kama hayo!Chanzo kinachofahamika ni kile kile cha kulazimisha mtu asiyeweza kupata hata 20% ya kura Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar
Mbona haijatumia hiyo imeuaje sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)
Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.
Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9
#ZanzibarLivesMatter
siku zake za kuishi duniani zimeisha, usiseme kapigwa risasi kafa, risasi haziui kama zingeua Lisu asingekuwa mgombea urais leo.ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)
Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.
Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9
#ZanzibarLivesMatter
vijana wa lumumbaPropaganda za kitoto
Wewe nawe matakao ya mamako, Kwani aliyeleta hii habari ni wa CHADEMA? Mbona CCM kumejazana makarai namna hii?Tii sheria bila shuruti
Risasi ambayo haijatumika itauaje?
Chadema acheni siasa chafu
Magufuli is a coward former president ever ,!Ndio maana mitandao imezimwa nyambfu
Kwa mawazo kama haya, huwa ndio maana naamini kila mala mzungu akili yake ni kubwa sana kuliko kiumbe mweusi!!! (mwafrika), kwani tuna mawazo ya kichawi chawi tu!!! Kuna mtu mwenye kufuatilia siasa za Tanzania, hajui kinachoendelea Zanzibar?!!Propaganda za kijinga, na ni uchochezi!
Kwa waliopitia jeshini hata mgambo wanafahamu kabisa kuwa unachokionyesha kwenye picha ni risasi nzima ambayo haijatumika!
Sasa anayedaiwa kuuawa kwa risasi hiyo alivurumishiwa kwa manati?