Zanzibar 2020 Zanzibar: Waliouawa wafikia 10 - (October 27, 2020 Update)

Zanzibar 2020 Zanzibar: Waliouawa wafikia 10 - (October 27, 2020 Update)

ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)

Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.

Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9

#ZanzibarLivesMatter

Mkuu, hivi vidole na ganda ndio ushahidi ama ni mambo ya kizushi tuu.
 
Askari unalipwa laki mbili na sabini Kama mshahara hakuna nyongeza za mishahara 5 yrs, kikotoo, maisha magumu Hadi wife auze vitumbua unatumika kumpiga risasi mtanzania mwenzako sababu ya tumbo la mtawala ambae anakunyima haki zako.
Kazi zingine ni lzm urogwe kwanza ndipo uajiriwe
 
Amani ni muhimu tuu kwa anaye amini, kinyume chake ni fujo. Unajazwa ujinga unafanya wanavyotaka wanao watuma, polisi butua tuu hao binadamu nusu wangetimia ubinadamu wasinge shawishika kirahisi hivyo.
 
Askari unalipwa laki mbili na sabini Kama mshahara hakuna nyongeza za mishahara 5 yrs, kikotoo, maisha magumu Hadi wife auze vitumbua unatumika kumpiga risasi mtanzania mwenzako sababu ya tumbo la mtawala ambae anakunyima haki zako.
Kazi zingine ni lzm urogwe kwanza ndipo uajiriwe
Wengi wakistaafu wanakuwa makorokoroni wengine huwa wachawi!!! Laana za rushwa, dhulma na....
 
Wakurugenzi wa Halmashauri na Manispaa ni Maadui wa Watanzania
 
Mahakama zinamuogopa Magufuli Polisi wanamuogopa Magufuli Wanajeshi wanamuogopa Magufuli sasa sisi wananchi tukimbilie wapi wakati anatuua?

Je, tukiingia Msituni na kuanza harakati nani wa kulaumiwa?
Msitu gani mtaingia nyie keyboard warriors? Kila msitu Kuna wanajeshi wameweka kambi yao.
 
Propaganda za kijinga, na ni uchochezi!

Kwa waliopitia jeshini hata mgambo wanafahamu kabisa kuwa unachokionyesha kwenye picha ni risasi nzima ambayo haijatumika!

Sasa anayedaiwa kuuawa kwa risasi hiyo alivurumishiwa kwa manati?
Kwa kombeo
 
ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)

Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.

Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9

#ZanzibarLivesMatter

sitaki kuamini kama kodi yangu imetumika kununulia hiki chuma kilichoondoa uhai wa mwanaddamu mwenzangu, moyo wangu unavuja machozi ya damu, inauma sana!

#Justice for Zanzibarians
 
Zanzibar watapiga kura ya Maoni kama wanautaka Muungano au la Lissu akishatangazwa kwa maana haya ni mateso makubwa kwa Wazanzibari.
 
Yote ni kulazimisha kutawala ,kama haupendwi tulia ,jitu ni litajiri lina kila aina ya investments ,mi account imejaa fedha za wizi lakini bado tu linaua watu liendelee kutawala yaani ni tabu tupu.

Mwenzake aliua wazanzibar mwaka 2000 ila tayari kashalala LUPASO.
 
Back
Top Bottom