Zanzibar 2020 Zanzibar: Waliouawa wafikia 10 - (October 27, 2020 Update)

Zanzibar 2020 Zanzibar: Waliouawa wafikia 10 - (October 27, 2020 Update)

ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)

Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.

Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9

#ZanzibarLivesMatter
View attachment 1614174
Mbona mnashabikia Sana mauaji, jiueni wenyewe Basi ili mfikishe idadi muitakayo nyambafu!
 
Haya kama zinaelea vizuri basi twaomba ututumie ushahidi wa hicho unachodai. Nyie vibaraka wa mboga mboga nanyi hamuaminiki..!
Huku Zanzibar ni amani ndiyo iliyotawala hizo mboyoyo hazina mashiko.
 
Back
Top Bottom