Zanzibar 2020 Zanzibar: Waliouawa wafikia 10 - (October 27, 2020 Update)

Zanzibar 2020 Zanzibar: Waliouawa wafikia 10 - (October 27, 2020 Update)

Chagu eh , Mwambieni mjomba anazingua. Sasa imebaki Jf tu inayofanya kazi sawa sawa. Kule kutamu hakuna mawasiliano. INABOA SANA.

Huyu si anapendwa na amefanya makubwa mengi , hofu ya nini mpaka twita, YouTube hazifanyi kazi ?!.

Si ajabu hata Jf nayo itazingua . Haya mambo hatuyapendi.
Ahaaa,sio kweli kabisa.
 
ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)

Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.

Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9

#ZanzibarLivesMatter

Acha propaganda kijinga hivi. Unajua risasi iliyoua? Tii sheria bila shuruti. Waambie na wenzako
 
ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)

Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.

Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9

#ZanzibarLivesMatter

Ujinga tu.
Mnaambiwa msiandamane nyie mnaendelea kuandamana mnategemea nini zaidi ya kupigwa tu.
Uchaguzi bado mshaanza fujo je matokeo yakitangazwa si ndiyo mtachinjana kama kuku.
Dola lazima iheshimiwe, wewe unamrushia askari mawe wakati yeye ana bunduki, kweli unajipenda wewe ?
 
Tii sheria bila shuruti

Risasi ambayo haijatumika itauaje?

Chadema acheni siasa chafu

Kibaraka wa mboga mboga.! Maana nyie akili zenu huwa kama zimefyatuka hazina tena uwezo wa kuelewa...! Ni mwendo wa kushabikia maovu na likitokea jambo baya nyie ni mashabiki wazuri wa kulipoteza poteza.!
 
Sasa kama ni jino kwa jino kwa nini ulalamike?
Kumbuka lengo la Leo lilikuwa wasilete wapigakura hewa na ni Watu wachache sana waliopiga kura VICTORY IS OURS
 
Mahakama zinamuogopa Magufuli Polisi wanamuogopa Magufuli Wanajeshi wanamuogopa Magufuli sasa sisi wananchi tukimbilie wapi wakati anatuua?

Je, tukiingia Msituni na kuanza harakati nani wa kulaumiwa?
Kwahiyo mlivyokuwa mnawapiga mawe askari mlitaka wawageuzie na shavu la kushoto!? Si ndio?

MAGUFULI4LIFE.
 
Mahakama zinamuogopa Magufuli Polisi wanamuogopa Magufuli Wanajeshi wanamuogopa Magufuli sasa sisi wananchi tukimbilie wapi wakati anatuua?

Je, tukiingia Msituni na kuanza harakati nani wa kulaumiwa?
WEWE
 
RPC wa mkoa wa Pemba Kaskazini pamoja na IGP wanadai kuwa hajauawa mtu hata mmoja![emoji52]
 
Watoto wao wako shule nje ya nchi,
Watoto wa wenzao wanawapeleka kwenye maandamano. Hivi hili limekaaje wana jf?

MAGUFULI4LIFE.
 
Back
Top Bottom