Zanzibar 2020 Zanzibar: Waliouawa wafikia 10 - (October 27, 2020 Update)

Zanzibar 2020 Zanzibar: Waliouawa wafikia 10 - (October 27, 2020 Update)

Maalim Mungu anakuona. Unachochea wa Zanzibar kwa uchu wa madaraka wakati huo wewe umejifungia ndani. Kiongozi ni kutangulia mbele wakufuate, ila inakuwa tofauti.
 
Hivi nyie ACT mnatufanya sisi wajinga sana? Hivi wewe uoni hiyo risasi haijatumika? Hivi wewe hujui kuwa hiyo risasi haijatumika wewe uoni?nilitegemea uweke picha za hao watu tisa walio uwawa!
Ushahidi mtakutana nao kwenye mahakama za kimataifa kenge nyie.

Damu zinazomwagika mtazilipa kwa gharama yoyote ile.!
 
Maalim Mungu anakuona. Unachochea wa Zanzibar kwa uchu wa madaraka wakati huo wewe umejifungia ndani. Kiongozi ni kutangulia mbele wakufuate, ila inakuwa tofauti.
Maalim kakamatwa toka asubuhi alivyoenda kupiga kura
 
Je kuna haja ya kufungua Tuition na kuelimisha wananchi jinsi ya kujihami na smg
Kwa sababu Magufuli anaanza kuwa Wananchi wake mwenyewe
 
ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)

Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.

Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9

#ZanzibarLivesMatter

Very stupid...yaani tunaonyeshwa risasi ambayo haijatumika?
 
ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)

Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.

Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9

#ZanzibarLivesMatter

Hakuna aliyeuawa hadi muda huu.
Vijana 42 wamekamatwa kwa kufanya fujo
Hii kick ya mauaji haitawasaidia
 
Ulitaka watumie nn sasa... Hao wajinga si wameona mawe ni bora kuliko risasi??? Hatutaki malalamiko, ugomvi uanzishe ukipgwa uje utupigie ss kelele huku..idiots.
Werevu huwa wanatumia rubber bullets wanapopambana na raia wao. Sasa utataufta kundi la kuwaweka wale wanaopamba kwa risasi za moto na raia wao.
 
ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)

Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.

Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9

#ZanzibarLivesMatter

#Zanzibarlivesmatter: Mkuu, kwanza hii risasi uliyoshikilia haijatumika na sijui umeitoa wapi na unataka kuitumia wapi kwa ajili ya nini? Mkono ulioshika hiyo risasi unaonesha ulikuwa unasukuma unga wa ngano. Bado unasambaza taarifa za watu kenda kwamba wamekwisha kuuwawa pasipo ushahidi uliothibitishwa na daktari. Kwanini hii taharuki inasambazwa sana nani na kwa nia gani? Ni kweli mamlaka za dola na wananchi wanawajibika kuheshimiana kwenye kipomo cha HAKI na WAJIBU; je, tatizo ni lipi hadi madhira haya yatokee? Kila mmoja anawajibu wa kuzingatia kudhibiti hisia binafsi dhiki ya matakwa kinzani ili kudumisha, AMANI, UHURU, na HAKI pasipo kuvunja sheria na kudharau mamlaka halali.
 
ALERT [emoji599]: Waliouawa Zanzibar Wafikia Tisa (9)

Mwananchi mwengine mmoja ameuawa kwa kupigwa risasi na Vyombo vya Dola Zanzibar, aliyeuawa ni Omar Juma Mohammed wa Mwembe Makumbi, Unguja.

Kuuawa kwa Omar kunafanya idadi ya waliouawa tangu Jana kufikia 9

#ZanzibarLivesMatter

Hiyo risasi mbona Ni nzima haijalipuka? Una mdanganya Nani?

Risasi ipige mtu ibaki ilivyo? Hilo ganda lingeanguka eneo ambapo mpigaji ( mwenye bunduki) angekuwepo, sehemu ya mbele ndiyo ingempiga mlengwa,

Propaganda za kipumbavu Sana, heshimuni majeshi yenu msipakae matope kisa madaraka tu.

Wadanganyeni mburula wenzenu waisiojua lolote! Shame on you.
 
Jaduong acha hasira,hili ni suala zito tunatakiwa kupewa ushahidi wa kutosha sio kuweka picha ya risasi.
Chagu eh , Mwambieni mjomba anazingua. Sasa imebaki Jf tu inayofanya kazi sawa sawa. Kule kutamu hakuna mawasiliano. INABOA SANA.

Huyu si anapendwa na amefanya makubwa mengi , hofu ya nini mpaka twita, YouTube hazifanyi kazi ?!.

Si ajabu hata Jf nayo itazingua . Haya mambo hatuyapendi.
 
Back
Top Bottom