TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,079
- 3,367
Ingia fastaaaaa.... Unasubiri nini???Mahakama zinamuogopa Magufuli Polisi wanamuogopa Magufuli Wanajeshi wanamuogopa Magufuli sasa sisi wananchi tukimbilie wapi wakati anatuua?
Je, tukiingia Msituni na kuanza harakati nani wa kulaumiwa?