Zanzibar 2020 Zanzibar: Waliouawa wafikia 10 - (October 27, 2020 Update)

Jamaa kashashidwa...anataka kutoka kwa shari...damu za watu hizo!!
 
Mahakama zinamuogopa Magufuli Polisi wanamuogopa Magufuli Wanajeshi wanamuogopa Magufuli sasa sisi wananchi tukimbilie wapi wakati anatuua ?
Je tukiingia Msituni na kuanza harakati nani wa kulaumiwa?
Ingia msituni kama mna ubavu sio kila siku kulialia nyuma ya keyboards wakati hata ugomvi wa kurusha mawe hamuuwezi.
 
Tunataka ushahidi wa picha, maziko sio porojo tu.
Hizo hapo.
Ek7pzeAWkAAjQ9o.jpg
Ek_5wfHXgAE9ROj.jpg
Ej-7oLPWkAAz5wY.jpg
 
Vyombo vya habari vya ndani vimeusalit umma havitangazi yanayoendelea zanzibar!!
 
Mahakama zinamuogopa Magufuli Polisi wanamuogopa Magufuli Wanajeshi wanamuogopa Magufuli sasa sisi wananchi tukimbilie wapi wakati anatuua?

Je, tukiingia Msituni na kuanza harakati nani wa kulaumiwa?
Na weweee!! Huko msituni utaliwa na simba bure!
 
"Kama kutuua basi Watuue wote" Askofu Mwamakula Keko leo
 
Mahakama zinamuogopa Magufuli Polisi wanamuogopa Magufuli Wanajeshi wanamuogopa Magufuli sasa sisi wananchi tukimbilie wapi wakati anatuua?

Je, tukiingia Msituni na kuanza harakati nani wa kulaumiwa?
Wanaogopa tusipeane taarifa za matukio tusikinukishe.
 
Back
Top Bottom