Zanzibar wanaliliaje hela ya FIFA na wao si mwanachama

Wanapaswa kutambua kuwa TFF inasimamia mpira wa Tanzania.. kwa maana nyingine Tanzania inapaswa kuwa na ligi moja tu.. hizo nyingine ni tamaa tu za matumbo yao.
Wakinyimwa watafanyaje ,wakipeleka malalamiko FIFA hawatambuliwi huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zanzibar mara nyingi wamekuwa wakilalamika hawana mdhamini kwenye ligi yao hata kwenye vilabu vyao ,tatizo zanzibar hawaruhusu makampuni ya pombe na betting kudhamini
Wanapaswa kutambua kuwa TFF inasimamia mpira wa Tanzania.. kwa maana nyingine Tanzania inapaswa kuwa na ligi moja tu.. hizo nyingine ni tamaa tu za matumbo yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha kuropokwa ovyo mkuu, Hongkong, Nepal, Taiwan, Macau hawa je ni member wa UN? au United Kingdom?
 
acha kuropokwa ovyo mkuu, Hongkong, Nepal, Taiwan, Macau hawa je ni member wa UN? au United Kingdom?
Issue ya UK ina sababu zake za kihistoria.
Halafu Taiwan ni member wa FIFA? Hili sina uhakika nalo.
Lakini kikubwa, FIFA wana hiyo principle sasa hivi. Usipokuwa UN member forget about membership.
Finally be diplomatic in your language. Hakuna mtu anaropoka ovyo. Argue with without insulting.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…