getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,822
Hiyo ndo sehemu ya changamoto za kujadili.. timu inapaswa kuwa na wadhamini wengi ikiwa ni brand bora
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, si ulisikia Namungo hana nauli ya kuondoka Mbeya? Ilibidi Harmonize awatumie nauli 3M
Sent using Jamii Forums mobile app