Hakuna Mpemba hata mmoja anayepandikiza chuki hapa. Tatizo wenzetu Tanganyika (sisemi ni wote) mumegeuka mbuni, munahisi mikisha kujificha kichwa basi kwa vile wewe hutoaki kuyaona matatizo basi hakuna anyeyaona.Kuna chuki Zanzibar zinazo pandikizwa Sana na wanao jiita wapemba.
Wapemba wengi ukiwa nao stori zao nyingi au mazungumzo ya ni Kuna Zanzibar kujitenga alafu wanapenda kujitenga Sana.
Hili swala ni kweli.
Wapemba acheni kupandikiza chuki nchini wote ni ndugu na muungano wote ni wetu
Muungano huu unamatatizo tokea kuanzishwa kwake. Wapeni watu Uhuru waujadili, na wanapoona panakaso parekebishwe. Vyenginevyo watakuja vijana wengine sisi Hatupo, watafanya wanavyotaka wao.