Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Mnaibiwa vipi wakati mna mawakala?Wizi mtupu wa Kura! Kweni Tanganyika hakuna Watumishi wa NEC mbona hatupigi mara mbili
Watu wanapigwa risasi na mabomu ya machozi kila mahali ikisha unakaa apo kubana pua eti "hali ni shwari", Hivi una UTU kiasi gani wewe ???Zanzibar hali ni shwari
Mnaibiwa vipi wakati mna mawakala?
Nimekuwekea source ya taarifa manka!Watu wanapigwa risasi na mabomu ya machozi kila mahali ikisha unakaa apo kubana pua eti "hali ni shwari", Hivi una UTU kiasi gani wewe ???
Kuna mchezo mchafu unaendelea katika huu Uchaguzi, inakuaje Zanzibar ina watu kiduchu wapige kura siku mbili?
Jibu swali.ACHA KUJIHUMUZA
Nimekuwekea source ya taarifa manka!
Kwa nini huo utaratibu uwe mwaka huu tu??Kura zinapigwa mara mbili kuwapa vyombo vya ulinzi na usalama nafasi ya kuhudumu vizuri siku ya kesho, sasa mnapo vuruga na siku ya leo mnaendelea kuthibitisha kuwa mnapenda vurugu na walioweka siku mbili tofauti walikuwa sahihi kabisa
Wako sahihi kivipi? Kesho pia watarudi kumpigia kura Rais wa JMT. Sasa huko siyo kupotezeana muda? Lengo la kupiga kura leo ni kuiba kura za Rais wa Zanzibar ambazo zitarundikwa mahali bila kuhesabiwa ili zichanganywe na za maruhani na za mazombi. Wanajua Mwinyi hakubaliki Zanzibar. Bila wizi wa aina hii Mwinyi hatoboi.Kura zinapigwa mara mbili kuwapa vyombo vya ulinzi na usalama nafasi ya kuhudumu vizuri siku ya kesho, sasa mnapo vuruga na siku ya leo mnaendelea kuthibitisha kuwa mnapenda vurugu na walioweka siku mbili tofauti walikuwa sahihi kabisa
Maduka yamefungwa!Unajua nini kinaendelea kutokea mkunazini hadi darajani muda huu?