Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Hapo ndo utamjua Maalim Seif yupo kundi gani. Aliondoa wawakilishi wake wasigombee ili Baraza libaki na CCM peke yao wapitishe Sheria wanazozitaka na wamepitisha Sheria leo anakuja kuwadhihaki ACT wazalendo eti hajui kwanini Kuna uchaguzi wa awali wakati yeye ndio alisababisha hiyo Sheria ipitishwe bila kupingwa.Kura ya mapema ukiitafakari vema ni UIZI mtupu. Eti makundi maalum yakapige kura ya wawakilishi na Raisi wa Zanzibar Leo, kisha kesho yarudi tena yakapige za nafasi za Muungano..!!!
Wapinzani mnapata taabu Sana kwa kujali matumbo yenu.