Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Don't say Tanzania say Zanzibar
 
Hawa waisrael huwa wajinga wajinga sana wao pamoja na serikali yao.

Ogopa sana watu wanao jiona special kuliko jamii nyingine.
 
Hiyo ni Hotel ya serikali ?
 
The Best option for the guests walipaswa kuomba kuhama au kucancel mda wa kukaa pale hotelini.

Mimi nikienda hotelini au restaurant nasema no pork for me Ili wajue ila sitazuia wengine wasile pork hayo ni maisha yao.Wa Israel hawakutakiwa kuhoji chochote waendelee na mambo yao.
 
Kitimoto sio ishu, labda tuseme wewe ni kiongozi wa serikali umeenda Kenya unafika hotelini unakuta gari ya meneja ina picha ya Nduli Iddi Amin Dada, utafanyaje?
 
An intelligent remarks
 
Hoja ni kwamba,tumeandikiwa maneno..."after complaining "..!Swali ni,Je,complaining tafsiri yake kwa kiswahili ni nini?
-ni kulalamika AU
-kuleta fujo?
Wangetupa ufafanuzi zaidi kwa ajili ya afya ya sekta ya utalii.
Kwa hakika zipo namna nyingi za complaining zipo ambazo ni violence na non-violence....mpaka ifikie hatua ya kufukuzwa hotelini mostly like ni violence tu.
 
Itakuwa poa sana.Maana wabongo ni wepesi kuchukua matukio balaa!
Halafu mimi sijaelewa hii Habari kabisa. Na Nina Shaka kama ni ya kweli. ILA kama wamefanya hivyo ni UPUMBAVU mkubwa. Mimi siwezi kuandika kwenye biashara yangu maneno kama hayo wakati ninafahamU napokea watu wa itikadi tofauti tena sekta ya utalii.
 
Safi sana meneja kataa watalii wote kutoka Israel pokea watalii kutoka palestina tu.
 
.."most likely"..! Hakuna uhakika.
Ukitumia tu logcal reasoning na sio ushabiki...mfanya biashara hasa wa mambo ya hotel na utalii ..kipaumbele chake cha biashara ni customer service & hospitality ...kamwe hawezi kumfukuza mteja kirahisi hivyo eti kisa amecomplain kwa kuwa complaining is normal mazingira ya hotel, hao wazungu wameleta hali isiyovumilika pengine kuhatarisha mapumziko ya wageni wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…