Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Ni makosa kusema "...a hotel in Tanzania.."

Bora wangeandika neno Zanzibar na siyo Tanzania, maana hao wahuni wa Zenji wanaweza kuharibu biashara ya utalii Tanzania bara kwa ushabiki maandazi wa hovyo.

Ni upunguani kuingiza itikadi za kisiasa na kidini kwenye biashara
hii ni kauli ya kibaguzi ndugu
 
Wapalestina hawakandamizwi.Walichagua kutokukaa na Israeli bila amani kwa hiyari ya mioyo yao.Wanachokifanya Israeli ni kudumisha adabu na amani tu/maintaining discipline and peace and order tu kwa wakaidi.
Mbona unaropoka kaka??
Palestina ilikubali 1947 kugawana ardhi na Israel,je ni Palestina aliyekataa 1948 UN kuitambua kimataifa!?
1948 Mataifa makubwa yalikataa kuitambua Palestina na walikua wakimuangaisha sana Yasser Arafat.
2005 Gaza imewekewa blockade je huo sio ukandamizaji??
Ramallah kila mwaka Israel hifadhili ubomoaji wa nyumba za wapalestina ili kupanua jewish settlements je huo sio ukandamizaji??
Acheni kuropoka bhana dunia inaelewa ukweli kuwa toka 1948 Palestina iko chini ya ukandamizaji.
 
use common sense not emotion..yaani mfanyabiashara ambae akipata wageni ni furaha na faida kwake, afikie hatua ya kumfukuza mgeni bila sababu ya msingi? Wote hatukuwepo eneo la tukio lakini akili tunazo..
Sio kila wageni ni furaha wengine ni karaha.

Hawa waisrael ni moja ya jamii ya watu wa namna hiyo.
 
Unayetoa huduma unapaswa kuwa neutral, usionyeshe unachokiamini au kukipigania. Wapokee wote bila kumfanya yoyote ajisikie kutokuwa salama. Ukiwa na mkeo laani israel utakavyo ila ukiwa kazini fanya kazi, kama huwezi jiunge na vikosi vya wapiganaji huko mitandaoni uitetee palestina uache wengine wafanye kazi na watalii.
Manager naye ni mtu na ana maoni yake,hawezi kujua anahitaji afukuzwe alipwe mafao yake and you also don't know sio manager inawezekana ndiyo mwenye hoteli na ana misimamo yake.Wangekuta gari bango limeandka we stand with Israel wangefanyaje?

Wapeleke usenge huko.
 
Hotel au sehemu yenye kutoa huduma kwa watu wenye itikadi,imani,maono mchanganyiko unawekaje vitu vitakavyowakwaza?Kutokujielewa huko na kuharibu biashara.
We jamaa hata hujielewi au umeandika kwa makusudi hujui kama Viongozi wote wa ccm na serikali wanatembea na Bendela zao na wengine ni watetezi wa Kutekana, kuuana na kuppteza watu, pamoja na hayo yoote hawajali wanyonge watajisikiaje.

Lakini linapokuja Swala la kutetea Haki huyo Manager alikuwa sahihi 100%
 
Hakuomba kazi ya kuja kuzuiliwa sticker gani ya kubandika katika gari lake.
Hiyo kazi ina conflict of interest na stika aliyobandika. Angebandika hiyo stika kama kaajiriwa kwenye sekta isiyohusisha wahusika.

Ni sawa na uajiriwe na msikiti halafu uvae tshirt imeandikwa "ONJA NGURUWE NI MTAMU" ikiambatana na picha ya pua ya kitimoto.
 
use common sense not emotion..yaani mfanyabiashara ambae akipata wageni ni furaha na faida kwake, afikie hatua ya kumfukuza mgeni bila sababu ya msingi? Wote hatukuwepo eneo la tukio lakini akili tunazo..
huenda unakosa unga kichwani.
Yaani Website ambayo inaonyesha habari za Iran 🇮🇷 tena Habari ambazo zipo bias ije kutoa taarifa ya Habari za Zanzibar? Ilo kwako ni common sense ila mimi kuuliza nione video sababu maelezo ni wamelalamika lakini yeye kasema wamefanya fujo ndio sio common sense. Kwa nini wewe ambaye umetaka kutumia common sense haukutaka kuthibitisha kwamba habari ni ya kweli. Kwann wasafi wasiipost, Kwann ITV isipostiwe Kwann clouds isiwepo Kwann page ya millard isiwepo? Mimi kuulizia video sina akili ila wewe kuletewa taarifa na website ya nje iliyopost kuhusu znz na huwa ni Habari zipo bias una akili?
 
Sio kila wageni ni furaha wengine ni karaha.

Hawa waisrael ni moja ya jamii ya watu wa namna hiyo.
Waisraeli sijui wanajionaje, kwa hiyo walitaka wamjue mwenye Gari ili wamfanyeje? Unajua kuwa wanaweza hata kumdhuru?

Ndio maana walitolewa mapema na huenda ilikuwa ni amri ya vyombo pia.

Hii ni kutaka kuleta taharuki ndani ya Nchi nyingine.
 
Manager naye ni mtu na ana maoni yake,hawezi kujua anahitaji afukuzwe alipwe mafao yake and you also don't know sio manager inawezekana ndiyo mwenye hoteli na ana misimamo yake.Wangekuta gari bango limeandka we stand with Israel wangefanyaje?

Wapeleke usenge huko.
Kama ni mwenye hoteli ndo hatari kabisa. Nchi inataka watalii wewe unaanzisha kampeni ambayo itahatarisha uwepo wao nchini? Bora hata awe meneja tutasema alipitiwa.
 
Hiyo kazi ina conflict of interest na stika aliyobandika. Angebandika hiyo stika kama kaajiriwa kwenye sekta isiyohusisha wahusika.

Ni sawa na uajiriwe na msikiti halafu uvae tshirt imeandikwa "ONJA NGURUWE NI MTAMU" ikiambatana na picha ya pua ya kitimoto.
Kwenye hotel walimzuia kubandika sticker hiyo katika gari lake ?

Conflict gani of interest ipo hapo ?
 
Yeye hataki biashara na mashoga! Na uyo manager anaweza kua Mpalestina sio lazima awe Mtanzania
sawa, kama meneja ni mpalestina ana haki ya kutetea taifa lake, ila kama ni mswahili atakuwa ni mshenzi tu kushabikia mizozo ya watu. Yeye anachotaka ni hela tu, hela haiachwi, hela hazina ushoga, uchawi, ulevi na uovu mwingine, hela ni safi
 
Hiyo kazi ina conflict of interest na stika aliyobandika. Angebandika hiyo stika kama kaajiriwa kwenye sekta isiyohusisha wahusika.

Ni sawa na uajiriwe na msikiti halafu uvae tshirt imeandikwa "ONJA NGURUWE NI MTAMU" ikiambatana na picha ya pua ya kitimoto.
Unafananisha vitu visivyofanana.

Sticker inatetea haki za watu na sio Kuhamasisha maasi.

Ukisema Onja Nguruwe mskini maana yake unahamasisha.

Lakini ukisema Msiwauwe wanaokula nguruwe bali wapigeni Daawa wamgeukie Mungu unakuwa umetenda jambo jema kwenye stika yako
 
Yupo sahihi juu ya juu ya chombo chake cha usafiri kukitendea vile aonavyo yeye sawa.
Hayupo sahihi. Hayupo sahihi kabisa. Ni sawa na refa wa mpira shabiki wa Yanga aje kuchezesha mechi na gari limeandikwa daima mbele mwiko nyuma.
 
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine

🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
View attachment 2968844

Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania for complaining about the free Palestine badge on the manager's car.

The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
Vikwazo hivyoooo naviona,wazenj msisahau mfumo wenu wa CCTV camera hapo unguja mjini, unamirikiwa na israel
 
Waje hotelini kwangu wataikuta hii nahisi itawafurahisha
Screenshot_20240112-193921.jpg
 
Tofautisha uwekaji wa bendera,misalaba,nyota na mwezi,kengele na sanamu sehemu za makanisa au imani fulani na kuweka hizo alama,bendera na mabango kwenye huduma za umma.Utakapo kufanya hayo ni vema ukawapa watumia huduma hadhari au bango linalojieleza kabisa.
Mtu kaegesha gari yake kwenye maegesho ya hoteli, wao yanawahusu nini?

Mbona Ulaya huko hawawaambii, wanafanya maandamano na ,mabango na magari na kila kitu, kila kukicha.

Hao mazayuni mmoja alijidai kuwasemea hovyo wasauzi kwenye maandamano yao ya kupinga mauwaji ya kimbari yanayofanywa Ghaza, kidogo wampe kichapo, polisi wakamwokoa.

Wasauzi hawataki ujinga.
 
Waisraeli sijui wanajionaje, kwa hiyo walitaka wamjue mwenye Gari ili wamfanyeje? Unajua kuwa wanaweza hata kumdhuru?

Ndio maana walitolewa mapema na huenda ilikuwa ni amri ya vyombo pia.

Hii ni kutaka kuleta taharuki ndani ya Nchi nyingine.
Hawa ni moja ya jamii ya watu wapumbavu sana.

Ogopa sana jamii ya watu isiyojifunza na kutaka kubadilika katika historia yake.

Wanapaswa kubadilika na kuachana na fikra zao za kijinga kijinga wasipofanya hivyo dunia itawa badilisha kwa nguvu.
 
Kwenye hotel walimzuia kubandika sticker hiyo katika gari lake ?

Conflict gani of interest ipo hapo ?
Kabla hata ya kuzuiwa. Kama una akili timamu utajua kuwa kuweka ujumbe huo kutafurahisha aina fulani ya watalii na kutakasirisha aina nyingine ilihali wewe unawahitaji kuhudumia watalii wote kwa usawa.
 
use common sense not emotion..yaani mfanyabiashara ambae akipata wageni ni furaha na faida kwake, afikie hatua ya kumfukuza mgeni bila sababu ya msingi? Wote hatukuwepo eneo la tukio lakini akili tunazo..
Kuna wafanyabiashara wengi tu Watanzania wanafanya bishara hovyo sana
 
Back
Top Bottom