Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Yupo sahihi juu ya juu ya chombo chake cha usafiri kukitendea vile aonavyo yeye sawa.Meneja kakosea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo sahihi juu ya juu ya chombo chake cha usafiri kukitendea vile aonavyo yeye sawa.Meneja kakosea.
hii ni kauli ya kibaguzi nduguNi makosa kusema "...a hotel in Tanzania.."
Bora wangeandika neno Zanzibar na siyo Tanzania, maana hao wahuni wa Zenji wanaweza kuharibu biashara ya utalii Tanzania bara kwa ushabiki maandazi wa hovyo.
Ni upunguani kuingiza itikadi za kisiasa na kidini kwenye biashara
Mbona unaropoka kaka??Wapalestina hawakandamizwi.Walichagua kutokukaa na Israeli bila amani kwa hiyari ya mioyo yao.Wanachokifanya Israeli ni kudumisha adabu na amani tu/maintaining discipline and peace and order tu kwa wakaidi.
Sio kila wageni ni furaha wengine ni karaha.use common sense not emotion..yaani mfanyabiashara ambae akipata wageni ni furaha na faida kwake, afikie hatua ya kumfukuza mgeni bila sababu ya msingi? Wote hatukuwepo eneo la tukio lakini akili tunazo..
Manager naye ni mtu na ana maoni yake,hawezi kujua anahitaji afukuzwe alipwe mafao yake and you also don't know sio manager inawezekana ndiyo mwenye hoteli na ana misimamo yake.Wangekuta gari bango limeandka we stand with Israel wangefanyaje?Unayetoa huduma unapaswa kuwa neutral, usionyeshe unachokiamini au kukipigania. Wapokee wote bila kumfanya yoyote ajisikie kutokuwa salama. Ukiwa na mkeo laani israel utakavyo ila ukiwa kazini fanya kazi, kama huwezi jiunge na vikosi vya wapiganaji huko mitandaoni uitetee palestina uache wengine wafanye kazi na watalii.
We jamaa hata hujielewi au umeandika kwa makusudi hujui kama Viongozi wote wa ccm na serikali wanatembea na Bendela zao na wengine ni watetezi wa Kutekana, kuuana na kuppteza watu, pamoja na hayo yoote hawajali wanyonge watajisikiaje.Hotel au sehemu yenye kutoa huduma kwa watu wenye itikadi,imani,maono mchanganyiko unawekaje vitu vitakavyowakwaza?Kutokujielewa huko na kuharibu biashara.
Hiyo kazi ina conflict of interest na stika aliyobandika. Angebandika hiyo stika kama kaajiriwa kwenye sekta isiyohusisha wahusika.Hakuomba kazi ya kuja kuzuiliwa sticker gani ya kubandika katika gari lake.
huenda unakosa unga kichwani.use common sense not emotion..yaani mfanyabiashara ambae akipata wageni ni furaha na faida kwake, afikie hatua ya kumfukuza mgeni bila sababu ya msingi? Wote hatukuwepo eneo la tukio lakini akili tunazo..
Waisraeli sijui wanajionaje, kwa hiyo walitaka wamjue mwenye Gari ili wamfanyeje? Unajua kuwa wanaweza hata kumdhuru?Sio kila wageni ni furaha wengine ni karaha.
Hawa waisrael ni moja ya jamii ya watu wa namna hiyo.
Kama ni mwenye hoteli ndo hatari kabisa. Nchi inataka watalii wewe unaanzisha kampeni ambayo itahatarisha uwepo wao nchini? Bora hata awe meneja tutasema alipitiwa.Manager naye ni mtu na ana maoni yake,hawezi kujua anahitaji afukuzwe alipwe mafao yake and you also don't know sio manager inawezekana ndiyo mwenye hoteli na ana misimamo yake.Wangekuta gari bango limeandka we stand with Israel wangefanyaje?
Wapeleke usenge huko.
Kwenye hotel walimzuia kubandika sticker hiyo katika gari lake ?Hiyo kazi ina conflict of interest na stika aliyobandika. Angebandika hiyo stika kama kaajiriwa kwenye sekta isiyohusisha wahusika.
Ni sawa na uajiriwe na msikiti halafu uvae tshirt imeandikwa "ONJA NGURUWE NI MTAMU" ikiambatana na picha ya pua ya kitimoto.
sawa, kama meneja ni mpalestina ana haki ya kutetea taifa lake, ila kama ni mswahili atakuwa ni mshenzi tu kushabikia mizozo ya watu. Yeye anachotaka ni hela tu, hela haiachwi, hela hazina ushoga, uchawi, ulevi na uovu mwingine, hela ni safiYeye hataki biashara na mashoga! Na uyo manager anaweza kua Mpalestina sio lazima awe Mtanzania
Unafananisha vitu visivyofanana.Hiyo kazi ina conflict of interest na stika aliyobandika. Angebandika hiyo stika kama kaajiriwa kwenye sekta isiyohusisha wahusika.
Ni sawa na uajiriwe na msikiti halafu uvae tshirt imeandikwa "ONJA NGURUWE NI MTAMU" ikiambatana na picha ya pua ya kitimoto.
Hayupo sahihi. Hayupo sahihi kabisa. Ni sawa na refa wa mpira shabiki wa Yanga aje kuchezesha mechi na gari limeandikwa daima mbele mwiko nyuma.Yupo sahihi juu ya juu ya chombo chake cha usafiri kukitendea vile aonavyo yeye sawa.
Vikwazo hivyoooo naviona,wazenj msisahau mfumo wenu wa CCTV camera hapo unguja mjini, unamirikiwa na israelZanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine
🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
View attachment 2968844
Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania for complaining about the free Palestine badge on the manager's car.
The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
Mtu kaegesha gari yake kwenye maegesho ya hoteli, wao yanawahusu nini?Tofautisha uwekaji wa bendera,misalaba,nyota na mwezi,kengele na sanamu sehemu za makanisa au imani fulani na kuweka hizo alama,bendera na mabango kwenye huduma za umma.Utakapo kufanya hayo ni vema ukawapa watumia huduma hadhari au bango linalojieleza kabisa.
Hawa ni moja ya jamii ya watu wapumbavu sana.Waisraeli sijui wanajionaje, kwa hiyo walitaka wamjue mwenye Gari ili wamfanyeje? Unajua kuwa wanaweza hata kumdhuru?
Ndio maana walitolewa mapema na huenda ilikuwa ni amri ya vyombo pia.
Hii ni kutaka kuleta taharuki ndani ya Nchi nyingine.
Kabla hata ya kuzuiwa. Kama una akili timamu utajua kuwa kuweka ujumbe huo kutafurahisha aina fulani ya watalii na kutakasirisha aina nyingine ilihali wewe unawahitaji kuhudumia watalii wote kwa usawa.Kwenye hotel walimzuia kubandika sticker hiyo katika gari lake ?
Conflict gani of interest ipo hapo ?
Kuna wafanyabiashara wengi tu Watanzania wanafanya bishara hovyo sanause common sense not emotion..yaani mfanyabiashara ambae akipata wageni ni furaha na faida kwake, afikie hatua ya kumfukuza mgeni bila sababu ya msingi? Wote hatukuwepo eneo la tukio lakini akili tunazo..