Okey.Taifa linapaswa kupokea watalii wasio wendawazimu ili kuepukana na kadhia mbalimbali.
Ni vyema viwanja vya ndege viwe vinapima kwanza akili watalii kabla ya kuwa ruhusu kuingia nchini vichaa dunia hii wanazidi kuwa wengi.
Wana haki ya kuishi, sio kuuliwa kama kuku na kufanywa watumwa.
Hata zikiwepo hakuna tatizo kwani ni mambo mangapi mmeweka matabaka na wala hamfikiri kuyavunja ?!.Hapana. Katika hili utatengeneza tatizo kubwa sana iwapo hali itafikia hatua ya kwamba kuna hoteli team palestina na hoteli team Israel.
Hao wanatoa hela? Hao wanajua ku spend hela?Unless tunataka watalii kutoka nchi za kiarabu tu.
Umahiri,umakini na kumjali mteja siyo utumwa.Hata Waizraeli hawana chuki na sisi.Kwa nini Wapalestina watufanye tuwachukie Waizraeli?Acha utumwa, kwani si kila mtu ana uhuru wake. Angefanyia Israel walikuwa na haki lakini sisi hatuna chuki na Palestina kwa nini wao watulazimishe kuwachukia.
Ukristo Fake usiofahamu biblia unakusumbua! Yaani bila aibu unaweka kifunga na kifungua semi kwenye neno uhuru? Btw, hadi uhoji kama ni kituo cha kupigani uhuru; kwani umeambiwa hao Wayahudu wenzako walikuta mafunzo ya kijeshi?!Kwa hiyo ile ni hoteli au kituo cha wapigania "uhuru"?
The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
Ujinga ujinga tu. Huwezi jenga banda la nguruwe mbele ya msikiti sababu wewe ni mkatoliki na una mitazamo yako na kiwanja ni chako.Timu mnaleta ninyi katika mazingira ya kawaida watu kutofautiana tamaduni, mitazamo, dini, idikadi za kisiasa na mengineyo ..ni kawaida sana hivyo kama unaona hapafanani na wewe ondoka tu au jaribu kuwa na tolerance na utaratibu wa eneo husika..
Tatizo lipo. Ni mambo gani hayo unayozungumzia?Hata zikiwepo hakuna tatizo kwani ni mambo mangapi mmeweka matabaka na wala hamfikiri kuyavunja ?!.
Bro nitakupa mfano, ile sikukuu ya Xmas Hotel kibao mwezi mzima zinapambwa na kuendeshwa ki Xmas, hadi wafanyakazi unakuta wanavaa mavazi ya ki_xmas, na wakati wote huo si kwamba hotel haipokei wenye mitazamo tofauti na uwepo na Xmas na si kwamba hawakwaziki, bali wamechagua kunyamaza...Zanzibar uchumi wake ni WA kihistoria unachangiwa pakubwa na mapato ya utalii
Raia wawe makini Sana kutumia biashara zao kama nyenzo za kueneza au kuonyesha itikadi zao. Hii ikienda viral itatuharibia. Wakati wa mwezi wao wajue Kuna wageni wasiofungamana na Imani hiyo hivyo hoteli za Umma zisifungwe na Wala wasijihusishe kabisa na watu wanaokula hadharani. Suala la Mavazi waachane kabisa na kujishughulisha na watu wamevaa nini, hata ukiona mtu mweusi usidhani ni Mtanzania wengi ni wageni waliotuletea fedha zao walizo save siku nyingi
soma kwanza...then rudi kucomment uelewekeUjinga ujinga tu. Huwezi jenga banda la nguruwe mbele ya msikiti sababu wewe ni mkatoliki na una mitazamo yako na kiwanja ni chako.
Nasi waafrika tulikuwa na haki ya kuishi sio kubebwa kwenye magunia kama mbuzi tukapigania tukaupata uhuru wa kwanza.Wana haki ya kuishi, sio kuuliwa kama kuku na kufanywa watumwa.
Hilo sijui mkuu. Ninachojua nchi inahitaji watalii na tunawahudumia kwa usawa. Zanzibar inapokea hadi mashoga ya kizungu na inayapa huduma na meneja haweki stika za kupinga ushoga kwenye gari yake.Hao wanatoa hela? Hao wanajua ku spend hela?
Mambo ya ukristo umeyaandika wewe dugu yangu veve!Hiyo ni hoteli na inapaswa kuwa strictly for businesses. Siyo kuanzisha harakati za kisiasa hotelini!Mind you,big fella!Ukristo Fake usiofahamu biblia unakusumbua! Yaani bila aibu unaweka kifunga na kifungua semi kwenye neno uhuru? Btw, hadi uhoji kama ni kituo cha kupigani uhuru; kwani umeambiwa hao Wayahudu wenzako walikuta mafunzo ya kijeshi?!
Acha kujidanganya! Hao Zionists wanapingwa na nchi kibao tu! Tumebaki Miafrika tunaoshindwa kutofautisha kati Ukristo, Judaism, Jews na Zionists. Hata nchi zinazowaunga mkono, huo uungaji mkono ni wa serikali zao; na hizo serikali zao zinafanya hivyo kutokana kuona Israel ndie Mshirika pekee unayeweza kumtegemea na kummwanini kwa 100% kwa Mashariki ya Kati.Unless tunataka watalii kutoka nchi za kiarabu tu.
Watu wanajisahau sana, kama hawakupendezwa na hilo wangehama hoteli kimyakimya na sio kuanzisha fujo. Upo nchi za watu unataka kupangia watu maisha?
Ushanielewa suala lililobaki ni kuikubali hoja si kuelewa.soma kwanza...then rudi kucomment ueleweke
Hakuna ujinga kwenye miliki ya kiwanja chake unless wewe ndie mjinga mwenyewe uliyekubuhu kwa sababu naye anaweza kuona msikiti unamleta makele kwake.Ujinga ujinga tu. Huwezi jenga banda la nguruwe mbele ya msikiti sababu wewe ni mkatoliki na una mitazamo yako na kiwanja ni chako.
MM sisemi wapalestina wanahaki ya kinachowakuta. Siongozwi na mihemko ya kidini. Ninachosema ni meneja kuwa chawa wa palestina kwa wateja wa kiisrael si sawa.Nasi waafrika tulikuwa na haki ya kuishi sio kubebwa kwenye magunia kama mbuzi tukapigania tukaupata uhuru wa kwanza.
Wapalestine wapo njia sahihi