Mtu asipoelewa hapa ana kichwa kigumu mnooo.Yes ni bendera inayotetea uhuru wa Palestina hilo halina shida...
Nawaelewa hao Wayahudi kwamba wapo concerned kwa sababu hawajui itikadi ya mbandika sticker hiyo ni kali kiasi gani...
Sijaona mahali kwenye hii habari kama waling'ang'ania bendera itolewe au gari isiwepo hapo, bali imeandikwa kwamba
Hata ungelikuwa ni wewe, usingejilaza kichwa kichwa tu mahali ambapo unaona kuna red flags zinazoweza hatatisha uhai wako...
Wayahudi na Wapalestina wana uadui mzee, ni watu wa kuviziana...
Sahihi.Wanafanya kazi kwa hisia za chuki tu.Wamelishwa mambo ya hovyo sana.Kuna maswali ya kujiuliza;-hili ni tatizo la management kutoa huduma kwa namna ya kutojali wateja ambao ndio wapewa huduma na wenye kustahili kutobaguliwa haipaswi mfanyakazi wa hotel ama sehemu yeyote inayotoa huduma kuonyesha udhaifu wa kiimani zaidi ya imani kwenye kazi maswala ya ushabiki wa pro-palestinian ama pro-Israel unapaswa uachwe nje ya gate la kuingilia kwenye huduma husika,hii ni ili kuepukana na kumkwaza mteja unayempa huduma.
kwa sababu ya hili ninashauri mahotel mengine na hata sehemu nyingine zinazohudumia watalii hili liwe ni somo ambalo wote wanapaswa kujifunza na kuwaelewesha staff namna gani bora ya kum-accommodate mgeni na ndiyo maana hata sehemu za kazi kama hizi kunakuwepo na mavazi rasmi ya kazi ili yawe yamepitishwa na management kwa maana kuhakikisha kwamba hayawi ni sehemu ya kumvunjia mtu/mgeni starehe.
mwisho wa siku hiyo hotel inapaswa kuwaomba msamaha wateja wao na hata ikiwezekana kumbadilisha huyo manager kwa maoni yangu ni kwamba hafai huyo.
Huyo Manager na wahudumu hawajasoma kozi ya Sales and Marketing?Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine
🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
View attachment 2968844
Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania for complaining about the free Palestine badge on the manager's car.
The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
Kama ni mitaani ni sawa.Au dar watafurahi kukutana na magari yana bendera za israeli .
Adui yake ni sticker.Mwendawazimu ni meneja anayempokea muisraeli ili ambandikie matangazo kuwa mie adui yako.
HEEEEEE! Yaani mtu kaweka kwenye gari lake halafu unasema kosa lake ni kuwaonesha Waisraeli kuwa yeye ni adui? Nitakueleza kama nilivyowaeleza wenzako. Hao ma-Extremists wangekuwa na haki ya kuhoji endapo stika ingekuwa INAPINGA uwepo wa Taifa la Israel lakini sio kupinga ku-advocate uhuru wa taifa linalotambuliwa na sheria za kimataifa! Extremism is extremism is extremism; iwe Islamic Extremism, Jewish Extremism or Hindu Extremism! Wanaopinga Free Palestine ni Jew Extremists and not any Jew!Huyo hajafanya kosa kuamini kuwa wapalestina wanatakiwa kupewa uhuru. Kosa lake ni kuwaonyesha waisraeli kuwa yeye ni adui kwao japokuwa anawahudumia.
Muisraeli na Mpalestina wapo vitani, Sasa kwao adui ni adui bila kujali huyu ni adui wa stika za kwenye magari tu au anaweza kukuua. Meneja hakuwa sawa kuwaonyesha Israeli kuwa yeye ni adui.
Kwani utatumia kipimo gani kupima kiwango cha chuki aliyonayo muweka stika dhidi ya wauaji wa wapelistina?Adui yake ni sticker.
Huyu ni zaidi ya mwendawazimu kama inafika stage ya kujenga uadui mpaka na sticker
Hawajauzingatia msemo "mteja ni mfalme"..."kazini kwako"...!Ofisi binafsi,ya chama au ya umma?Kama ni binafsi au ya chama ni sawa kuweka bendera.Lakini,kama inatumiwa na watu wote/umma,kuweka bendera za kisiasa ni upumbavu uliopitiliza viwango.
HALAFU;Kulikuwa na ulazima au umuhimu gani wa kuwafukuza hao watalii/wageni wa Kiizraeli kwa sababu ya kuuliza walichouliza tu?Hakukuwa na namna ya kuwaelewesha kuhusu uhuru wa kufanya mambo katika nchi(Zanzibar)bila kuvunja sheria?Hoja kuu ya kuwafukuza ni ipi?
Sumu wanazolishwa huko majumbani na kwenye vijiwe zinawaharbu hadi wanatembeza upumbavu wao hadharani kama karanga kwenye sinia.Hawajauzingatia msemo "mteja ni mfalme"
Kwani kati ya hiyo hoteli na hao Wazungu nani anayemuhitaji mwenzake?Watu wanajisahau sana, kama hawakupendezwa na hilo wangehama hoteli kimyakimya na sio kuanzisha fujo. Upo nchi za watu unataka kupangia watu maisha?
Hapa tunaangalia usalama wa biashara ya utalii sio haki za uanaharakati wa kivita, kidini au kisiasa.HEEEEEE! Yaani mtu kaweka kwenye gari lake halafu unasema kosa lake ni kuwaonesha Waisraeli kuwa yeye ni adui? Nitakueleza kama nilivyowaeleza wenzako. Hao ma-Extremists wangekuwa na haki ya kuhoji endapo stika ingekuwa INAPINGA uwepo wa Taifa la Israel lakini sio kupinga ku-advocate uhuru wa taifa linalotambuliwa na sheria za kimataifa! Extremism is extremism is extremism; iwe Islamic Extremism, Jewish Extremism or Hindu Extremism! Wanaopinga Free Palestine ni Jew Extremists and not any Jew!
Kwani kati ya hiyo hoteli na hao Wazungu nani anayemuhitaji mwenzake?Watu wanajisahau sana, kama hawakupendezwa na hilo wangehama hoteli kimyakimya na sio kuanzisha fujo. Upo nchi za watu unataka kupangia watu maisha?
Kwa nini nipime chuki ?Kwani utatumia kipimo gani kupima kiwango cha chuki aliyonayo muweka stika dhidi ya wauaji wa wapelistina?
Sababu wewe ni mpalestina, mwenyeji wako anayekuhudumia amekuonyesha kupitia stika kuwa anaisapoti israeli na hujui kiwango chake cha chuki dhidi ya palestina kitaishia kwenye stika tu au atakuwekea na sumu.Kwa nini nipime chuki ?
Sio kila mteja ni mfalme na wengine ni washenzi. Na weshenzi wenyewe ndio kama hawaHawajauzingatia msemo "mteja ni mfalme"
Hebu soma tena ulicho andika sikuelewi hata unaandika nini ?Sababu wewe ni mpalestina, mwenyeji wako anayekuhudumia amekuonyesha kupitia stika kuwa anaisapoti israeli na hujui kiwango chake cha chuki dhidi ya palestina kitaishia kwenye stika tu au atakuwekea na sumu.
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine
🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
View attachment 2968844
Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania for complaining about the free Palestine badge on the manager's car.
The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
Walifanya fujo au walilalamika?Tatizo mnaweka hisia zenu za kidini katika hili, post yako kabla ya hii inajieleza kuhusu wewe.
Hivi unafikiri meneja wa hoteli ni mjinga awafukuze watu waliolipia siku nyingi bila refund? Acha tu kuwatimua, hukusoma walienda kufanya fujo mapokezi kwa kulalamikia hilo gari lenye bendera za Palestina?
Ifikie wakati kama binadamu tujifunze ustaarabu na kukubaliana na mawazo huru, kila mmoja ana uhuru wa kuamini anachotaka na ikiwa tofauti na wewe sio vita.
Umepiga penyewe. Kuna hoteli moja Arusha(sijafika, nimesimuliwa na rafiki yangu), wao wameamua kuwajaza Wakenya mpaka walinzi wa getini baada ya kuona kuwa Watanzania "wanazingua".Wewe ndiyo umeingiza udini/uislamu hapo.Watanzania jumlisha na wazanzibari ni watu wasiopenda kufanya kazi kiuweledi zaidi.Na si hivyo tu.Wana viburi,kuzira na kutonyenyekea vyanzo vya mikate yao.Kwa kiingereza wanaitwa "wagaya siida"/hawapendi shida,kuulizwaulozwa wala kusumbuliwa na kusumbua akili zao.Meneja na his coy hapo hotelini wametudhihirishia tabia hizo halisi za watanzania wengi.
Tukuelekeze walipo upite nao? MtaalamuKwanza kwasasa hao mayahud ni majinga.... Sehem nyingi duniani wanapoenda wanajificha uraia wao hasa kwa kile kinachoendelea uko kwao...Nchi km France au Germany waisrael wanaficha uraia wao sembuse eneo km Zanzibar ambalo lina Waislamu wengi... Mie nisingeshangaa baada ya wao kujitanbulisha km mayahudi watu wangepita nao kusikojulikana maana ata Balozi zao wamewaambia ktk hili sakata la Vita vyao na mgogoro wa Iran waisrael wanapaswa kuchukua hatua za kiusalama mojawapo nikuto disclose their natianlities...Majinga sana haya maisrael laiti wangejua Zanzibar kuna watu kadhaa wenye itikadi zao kali yasingejifanya ni mayahudi