Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Yes ni bendera inayotetea uhuru wa Palestina hilo halina shida...

Nawaelewa hao Wayahudi kwamba wapo concerned kwa sababu hawajui itikadi ya mbandika sticker hiyo ni kali kiasi gani...

Sijaona mahali kwenye hii habari kama waling'ang'ania bendera itolewe au gari isiwepo hapo, bali imeandikwa kwamba

Hata ungelikuwa ni wewe, usingejilaza kichwa kichwa tu mahali ambapo unaona kuna red flags zinazoweza hatatisha uhai wako...

Wayahudi na Wapalestina wana uadui mzee, ni watu wa kuviziana...
Mtu asipoelewa hapa ana kichwa kigumu mnooo.
 
hili ni tatizo la management kutoa huduma kwa namna ya kutojali wateja ambao ndio wapewa huduma na wenye kustahili kutobaguliwa haipaswi mfanyakazi wa hotel ama sehemu yeyote inayotoa huduma kuonyesha udhaifu wa kiimani zaidi ya imani kwenye kazi maswala ya ushabiki wa pro-palestinian ama pro-Israel unapaswa uachwe nje ya gate la kuingilia kwenye huduma husika,hii ni ili kuepukana na kumkwaza mteja unayempa huduma.
kwa sababu ya hili ninashauri mahotel mengine na hata sehemu nyingine zinazohudumia watalii hili liwe ni somo ambalo wote wanapaswa kujifunza na kuwaelewesha staff namna gani bora ya kum-accommodate mgeni na ndiyo maana hata sehemu za kazi kama hizi kunakuwepo na mavazi rasmi ya kazi ili yawe yamepitishwa na management kwa maana kuhakikisha kwamba hayawi ni sehemu ya kumvunjia mtu/mgeni starehe.
mwisho wa siku hiyo hotel inapaswa kuwaomba msamaha wateja wao na hata ikiwezekana kumbadilisha huyo manager kwa maoni yangu ni kwamba hafai huyo.
Sahihi.Wanafanya kazi kwa hisia za chuki tu.Wamelishwa mambo ya hovyo sana.Kuna maswali ya kujiuliza;-
-kwamba hakuna Muizraeli mwenye utu?
-kwamba kwenye hizo hoteli wahudumu na wamiliki hawajawahi kutofautiana na wateja wa mataifa mengine isipokuwa ni hao tu Waizraeli?
-Walikusudia kufikisha ujumbe gani kwa jamii?
-Wanatuhakikishiaje kwamba wameonewa na si habari zenye nia ovu?
-Walitegemea taarifa hii itafika kwa watu wenye kuchambua mambo in and out?
-Wanajua madhara hasi kwao kwa habari kama hizo?
-Walijipanga au ni habari imetokea tu?
-Tutegemee nini? N.k.
 
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine

🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
View attachment 2968844

Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania for complaining about the free Palestine badge on the manager's car.

The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."
Huyo Manager na wahudumu hawajasoma kozi ya Sales and Marketing?
 
Mwendawazimu ni meneja anayempokea muisraeli ili ambandikie matangazo kuwa mie adui yako.
Adui yake ni sticker.

Huyu ni zaidi ya mwendawazimu kama inafika stage ya kujenga uadui mpaka na sticker
 
Huyo hajafanya kosa kuamini kuwa wapalestina wanatakiwa kupewa uhuru. Kosa lake ni kuwaonyesha waisraeli kuwa yeye ni adui kwao japokuwa anawahudumia.

Muisraeli na Mpalestina wapo vitani, Sasa kwao adui ni adui bila kujali huyu ni adui wa stika za kwenye magari tu au anaweza kukuua. Meneja hakuwa sawa kuwaonyesha Israeli kuwa yeye ni adui.
HEEEEEE! Yaani mtu kaweka kwenye gari lake halafu unasema kosa lake ni kuwaonesha Waisraeli kuwa yeye ni adui? Nitakueleza kama nilivyowaeleza wenzako. Hao ma-Extremists wangekuwa na haki ya kuhoji endapo stika ingekuwa INAPINGA uwepo wa Taifa la Israel lakini sio kupinga ku-advocate uhuru wa taifa linalotambuliwa na sheria za kimataifa! Extremism is extremism is extremism; iwe Islamic Extremism, Jewish Extremism or Hindu Extremism! Wanaopinga Free Palestine ni Jew Extremists and not any Jew!
 
Adui yake ni sticker.

Huyu ni zaidi ya mwendawazimu kama inafika stage ya kujenga uadui mpaka na sticker
Kwani utatumia kipimo gani kupima kiwango cha chuki aliyonayo muweka stika dhidi ya wauaji wa wapelistina?
 
..."kazini kwako"...!Ofisi binafsi,ya chama au ya umma?Kama ni binafsi au ya chama ni sawa kuweka bendera.Lakini,kama inatumiwa na watu wote/umma,kuweka bendera za kisiasa ni upumbavu uliopitiliza viwango.
HALAFU;Kulikuwa na ulazima au umuhimu gani wa kuwafukuza hao watalii/wageni wa Kiizraeli kwa sababu ya kuuliza walichouliza tu?Hakukuwa na namna ya kuwaelewesha kuhusu uhuru wa kufanya mambo katika nchi(Zanzibar)bila kuvunja sheria?Hoja kuu ya kuwafukuza ni ipi?
Hawajauzingatia msemo "mteja ni mfalme"
 
Watu wanajisahau sana, kama hawakupendezwa na hilo wangehama hoteli kimyakimya na sio kuanzisha fujo. Upo nchi za watu unataka kupangia watu maisha?
Kwani kati ya hiyo hoteli na hao Wazungu nani anayemuhitaji mwenzake?
 
HEEEEEE! Yaani mtu kaweka kwenye gari lake halafu unasema kosa lake ni kuwaonesha Waisraeli kuwa yeye ni adui? Nitakueleza kama nilivyowaeleza wenzako. Hao ma-Extremists wangekuwa na haki ya kuhoji endapo stika ingekuwa INAPINGA uwepo wa Taifa la Israel lakini sio kupinga ku-advocate uhuru wa taifa linalotambuliwa na sheria za kimataifa! Extremism is extremism is extremism; iwe Islamic Extremism, Jewish Extremism or Hindu Extremism! Wanaopinga Free Palestine ni Jew Extremists and not any Jew!
Hapa tunaangalia usalama wa biashara ya utalii sio haki za uanaharakati wa kivita, kidini au kisiasa.

Kosa linapimwa kwa matokeo, matokeo ya kufanya harakati za kivita kwa upande A ni kupoteza wateja wa upande B na tunahitaji wateja wote A na B na ndipo kosa la meneja lilipo.
 
Watu wanajisahau sana, kama hawakupendezwa na hilo wangehama hoteli kimyakimya na sio kuanzisha fujo. Upo nchi za watu unataka kupangia watu maisha?
Kwani kati ya hiyo hoteli na hao Wazungu nani anayemuhitaji mwenzake?
 
Kwa nini nipime chuki ?
Sababu wewe ni mpalestina, mwenyeji wako anayekuhudumia amekuonyesha kupitia stika kuwa anaisapoti israeli na hujui kiwango chake cha chuki dhidi ya palestina kitaishia kwenye stika tu au atakuwekea na sumu.
 
Hebu soma tena ulicho andika sikuelewi hata unaandika nini ?
 
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine

🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT OF A HOTEL in Tanzania for complaining about the "FREE PALESTINE" badge on the manager's car.
View attachment 2968844

Four Israelis were kicked out of a hotel in Tanzania for complaining about the free Palestine badge on the manager's car.

The Canary Nungwi Hotel in Zanzibar kicked out four Israelis who interrogated a receptionist about a vehicle parked outside the premise with stickers that read "Free Palestine." The Israelis were told the vehicle belonged to the manager of the hotel, and they were eventually kicked out after complaining that the vehicle was causing them "concern."

Hawa waiz-rael wanataka kutupangia vitu vya kubandika kwenye magari.
Mbona wenyewe kwao wakiweka upinde hakuna wa kuwagusa.
 
Tatizo mnaweka hisia zenu za kidini katika hili, post yako kabla ya hii inajieleza kuhusu wewe.

Hivi unafikiri meneja wa hoteli ni mjinga awafukuze watu waliolipia siku nyingi bila refund? Acha tu kuwatimua, hukusoma walienda kufanya fujo mapokezi kwa kulalamikia hilo gari lenye bendera za Palestina?

Ifikie wakati kama binadamu tujifunze ustaarabu na kukubaliana na mawazo huru, kila mmoja ana uhuru wa kuamini anachotaka na ikiwa tofauti na wewe sio vita.
Walifanya fujo au walilalamika?

Kulalamika si kosa. Ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe. Watu wa Business and Public Administration wanalifahamu hilo.

Uongozi wa hoteli ulipaswa kuwasikiliza clients wao hata kama ni kwa "unafikiri". Ukimkwaza mteja mmoja anaweza kukupotezea wateja zaidi ya saba. Kwa walio makini na biashara zao, hawawezi kukubali hilo. Huzilinda biashara zao mithili ya mboni za macho.
 
Wewe ndiyo umeingiza udini/uislamu hapo.Watanzania jumlisha na wazanzibari ni watu wasiopenda kufanya kazi kiuweledi zaidi.Na si hivyo tu.Wana viburi,kuzira na kutonyenyekea vyanzo vya mikate yao.Kwa kiingereza wanaitwa "wagaya siida"/hawapendi shida,kuulizwaulozwa wala kusumbuliwa na kusumbua akili zao.Meneja na his coy hapo hotelini wametudhihirishia tabia hizo halisi za watanzania wengi.
Umepiga penyewe. Kuna hoteli moja Arusha(sijafika, nimesimuliwa na rafiki yangu), wao wameamua kuwajaza Wakenya mpaka walinzi wa getini baada ya kuona kuwa Watanzania "wanazingua".

Unaambiwa hiyo hoteli mpaka walinzi wa getini wanao uelewa wa "customer care", na wanapractice effectively.
 
Kwanza kwasasa hao mayahud ni majinga.... Sehem nyingi duniani wanapoenda wanajificha uraia wao hasa kwa kile kinachoendelea uko kwao...Nchi km France au Germany waisrael wanaficha uraia wao sembuse eneo km Zanzibar ambalo lina Waislamu wengi... Mie nisingeshangaa baada ya wao kujitanbulisha km mayahudi watu wangepita nao kusikojulikana maana ata Balozi zao wamewaambia ktk hili sakata la Vita vyao na mgogoro wa Iran waisrael wanapaswa kuchukua hatua za kiusalama mojawapo nikuto disclose their natianlities...Majinga sana haya maisrael laiti wangejua Zanzibar kuna watu kadhaa wenye itikadi zao kali yasingejifanya ni mayahudi
Tukuelekeze walipo upite nao? Mtaalamu
 
Back
Top Bottom