Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Hotel yenyewe ni Canary, sijui malengo ya wafanya biashars wengine ni nini? Unafanya uwekezaji mkubwa, then mambo ya hovyo kama haya.
Hahahahahahahahaha

Imewauma sana hii. miaka michache sana mbeleni hii mijitu itafukuzwa kila sehemu
 
Kuna watu humu inaonekana hata wakitiwa madole na hao wanaoitwa watalii watatulia tu kwa sababu ya kuogopa kuharibu biashara kwa kisingizio cha kusema jamaa wana ushawishi katika nchi za Amerika na Ulaya hivyo wanaweza kuzuia watalii wasije Tanzania.
 
..."wanadai refund"...!Kwani kudai chako ni kosa ndugu yangu?Umeshindwa kutimiza hitaji/tegemeo la mteja kwa nini asidai umrudishie malipo?Ulimuelekeza kabla kwamba hapo hakuna refund?
Unaongea kishabiki sana. Sina uhakika hata kama unajua how the hospitality industry is run.
 
🤣🤣🤣🤣 mizuka haijatulia sasa mpaka leo na haishii hii mpaka iishee . Unavamia nchi za watu halafu unaleta ubabe
And,I insist,hakuna mvamizi pale.Ni mwana mtembezi karudisha majeshi nyumbani na kukuta mihuni imewauzia majirani mashamba yake.Waisraeli wamerudi "mwitongo/kwenye malungulu/an old homestead" yao.
 
Hli unatakiwa ujue taratibu za hotel kabla ya kuanzisha ubishi. Kuna hotel nyingine kwa mfano kama umelipia wiki moja na ukakaa siku mbili basi hata ukiamua kuondoka hurudishiwi fedha. Nyingine kuna kipindi kikishapita fedha hazirudi.
ndio maana nkamwambia huyu jamaa sidhani kama anajua how this industry is run
 
Na wao wameshindwa kuchukuliana na hiyo free Palestina hadi walete ujuaji kwenye nchi ya watu. Mbona tuna mabendera ya Israel mengi makanisani na sehemu mbalimbali nchini?
 
Kuna watu humu inaonekana hata wakitiwa madole na hao wanaoitwa watalii watatulia tu kwa sababu ya kuogopa kuharibu biashara kwa kisingizio cha kusema jamaa wana ushawishi katika za Amerika na Ulaya hivyo wanaweza kuzuia watalii wasije Tanzania.
Ulipoenda ni mbali na hoja.Tufanye biashara kwa weledi zaidi na si kuongozwa kwa historia,simulizi au kulishana chuki.Tofautisha kuwa mnyonge na kuwa mweledi.
 
Jibu jepesi, atatumia gari ya ofisi.
 

Watanzania wengi hawatoki ndani ya nchi kwa hiyo wanakuwa maamuma wa mambo mengi sana yanayohusu historia, watu, maisha na tamaduni za nchi nyingine.
 
Hoja kuu ya kufukuzwa, walileta vurugu
 
ndio maana nkamwambia huyu jamaa sidhani kama anajua how this industry is run
Sekta haiendeshwi kimazoea,simulizi fitinishi au historia.Badilikeni,you people!It's high time now!Chuki za Israeli na Wapalestina zisiingizwe katikati ya mzunguko wa maisha yetu ya kila siku.
 
Wao wangeanza kumaliza kidiplomasia na sio kuleta vurugu
 
Hujakomboka bado kifikra.

Bado ni mtumwa wa kifedha.
 
Tunajua vita kali iliyopo baina ya Israel na HAMAS kwa mgongo wa Palestine.

Mtalii anapoingia hotelini na kukuta gari limeandikwa Free Palestine, lazima aweke usalama wake katika hali ya kujiuliza.

Mtu anayeweka mpakaa sticker ya kulitetea kundi fulani, tena akiwa kiongozi wa ngazi ya juu katika hoteli hiyo, anaweza kufanya jambo la hatari kwa watu wa taifa hasimu na analolishabikia.

Tena mtu huyo akiwa Muislamu, wanaongozwa na hisia za kipuuzi badala ya akili.
 
And,I insist,hakuna mvamizi pale.Ni mwana mtembezi karudisha majeshi nyumbani na kukuta mihuni imewauzia majirani mashamba yake.Waisraeli wamerudi "mwitongo/kwenye malungulu/an old homestead" yao.
You have no ground bases for this. Na ndio tunachokataa mwana mtembezi alienda kutembea wapi? Wakati anaondoka alimkabidhi nani hiyo anayoiita nchi yake? Huyo muhuni aliyeuza ni nani na aliuza sh.ngapi?

Huwa mnaleta stori za kusadikika sana kwenye maisha ya wapalestina. Foolish
 
Sawa kabisa! Walitakiwa waondoke wenyewe kabla ya kuanza kulalama! Dunia nzima imo kwenye mkwamo linapokuja suala linalowahusu wao, kana kwamba ndio binadamu pekee!
 
Bado haijafafanuliwa kuhusu hao watu kama ilikuwa ni kudai wawe refunded au walianzisha "fujo"/complaining!Na hadi kufurushwa hotelini walianza,kupitia na kuishia wapi?
Sasa kama unajua hilo kwanini uichkue tu habari na kuanza kutoa conclusion biased. ?
 
..."after complaining"...!Kwani kwa tafsiri ya lugha hapo ndiyo kuanzisha fujo.Au maana ya fujo ni ipi hasa siku hizi?
Hayo malalamiko yawezekana yaliambatana na vitendo vya hovyo ndiyo maana ikachukuliwa kama fujo.

Wangeenda ofisi kulalamika kiustaarabu bila kushout wasingekufuzwa. Au wangepiga namba za simu kwa boss moja kwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…