Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

huyo meneja wa hotel ni mpuuzi aelimishwe biashara yenye kuhitaji wateja mchanganyiko haiendeshwi kwa mihemko ya kushabikia magenge ya kigaidi/kisiasa/kidini na mengine mengi yawe huru. Biashara inataka uwe unavutia kila mteja, usiwaudhi wateja

Watu wengi hawajui tofauti kati ya MENEJA wa biashara na MFANYABIASHARA. Wengi wanadhani meneja ni mfanyabiashara! Kumbe meneja yeye ni MSIMAMIZI wa biashara na wala sio MFANYABIASHARA, maana yeye hajawekeza chochote kwenye hiyo biashara. Ndio maana kwa meneja anaweza kuona kama kumpoteza mteja au kumfukuza ni sawa tu manake yeye mshahara wake uko pale pale. Ila nna uhakika kama mwenye hoteli angekuwepo eneo la tukio, hii kesi wala isingefika kwenye vyombo vya habari.
 
Ni bendera tu hazina maneno yeyote .Hilo gari lingekuwa na bendera tu bila maneno tena iko ndani ya gari wasingelalamika

Shida hayo maneno.Sasa mfano una tension ya kukodisha unaweka bingo free Palestine. Hivi unategemea nini?

Magari mengi hata maduka huwa na maneno ya dini lakini ya heri sio shari ya kivita.Maneno kama Mungu bariki biashara yangu nk

Kuweka hayo ya Free Palestine hapana
Na rafiki wa adui yangu ni adui yangu moja kwa moja.
 
Ndugu yangu we, sioni kosa la meneja wa hotel. Ulaya na dunia yote kuna maandamano na kelele nyingi za kutaka Israel iache kukandamiza wapelestina. By the way mbona maandishi na kampeni za kuunga mkono ushoga zimewekwa kila mahali kwenye hotel kubwa majuu? Unafikiri mtu mwenye msimamo tofauti ukienda pale na kuhoji watakuchekea?
Siungi mkono ushoga ni laana.Lakini mashoga sio tishio kwa maisha ya mru kama Hamas.Kuweka neno free Palestine mbele ya mu Israel si sahihi kwa hotel
 
Sio kweli,mbona zipo taxi na mabasi yana bendera za Israel na maandishi ya Yesu na Muhammad(s.a.w) na bendera za Israel na nyingne bendera za Saudia,lakini watanzania wanapanda bila kujali gani ni ya mtu wa dini gani au mashabiki wa wapi.
Ni ujuha kuweka vitu vya aina hiyo katika biashara za watu mchanganyiko, hiyo ni pamoja na stika za Osama Bin Laden, Mullah Omar, Kim Jong, Putin, Gaddafi n.k
 
Hotel au sehemu yenye kutoa huduma kwa watu wenye itikadi,imani,maono mchanganyiko unawekaje vitu vitakavyowakwaza?Kutokujielewa huko na kuharibu biashara.
Kwanza kwasasa hao mayahud ni majinga.... Sehem nyingi duniani wanapoenda wanajificha uraia wao hasa kwa kile kinachoendelea uko kwao...Nchi km France au Germany waisrael wanaficha uraia wao sembuse eneo km Zanzibar ambalo lina Waislamu wengi... Mie nisingeshangaa baada ya wao kujitanbulisha km mayahudi watu wangepita nao kusikojulikana maana ata Balozi zao wamewaambia ktk hili sakata la Vita vyao na mgogoro wa Iran waisrael wanapaswa kuchukua hatua za kiusalama mojawapo nikuto disclose their natianlities...Majinga sana haya maisrael laiti wangejua Zanzibar kuna watu kadhaa wenye itikadi zao kali yasingejifanya ni mayahudi
 
Watu wengi hawajui tofauti kati ya MENEJA wa biashara na MFANYABIASHARA. Wengi wanadhani meneja ni mfanyabiashara! Kumbe meneja yeye ni MSIMAMIZI wa biashara na wala sio MFANYABIASHARA, maana yeye hajawekeza chochote kwenye hiyo biashara. Ndio maana kwa meneja anaweza kuona kama kumpoteza mteja au kumfukuza ni sawa tu manake yeye mshahara wake uko pale pale. Ila nna uhakika kama mwenye hoteli angekuwepo eneo la tukio, hii kesi wala isingefika kwenye vyombo vya habari.
Vema kabisa.Waajiriwa hawana uchungu na mtaji wa mwajiri.
 
Na nyingine zinabendela za Israel..

Wabongo tunachukulia km urembo flani hivi vitu wala hatupogo serious.

Dunia ingeadopt maisha ya wabongo nawahakikishia kungekuwa na aman sana duniani ingawa ujinga ungewa mkubwa sana

Mwaka 2011 tulienda Serengeti National park, gari tulilitumia la binafsi, na Jamaa alikua kaweka bendera ya marekani Kwa Mbele. Wakati tunalipia getini Kuna wazungu wakaja kutuuliza tunatokea marekani sehemu gan kisa tu wameiona bendera ya marekani. Ikabidi tuseme sisi ni watz ila tumeweka hiyo bendera maana tunaipenda Marekani ila kiukweli ilikua ni kama pambo tu
 
Kwanza kwasasa hao mayahud ni majinga.... Sehem nyingi duniani wanapoenda wanajificha uraia wao hasa kwa kile kinachoendelea uko kwao...Nchi km France au Germany waisrael wanaficha uraia wao sembuse eneo km Zanzibar ambalo lina Waislamu wengi... Mie nisingeshangaa baada ya wao kujitanbulisha km mayahudi watu wangepita nao kusikojulikana maana ata Balozi zao wamewaambia ktk hili sakata la Vita vyao na mgogoro wa Iran waisrael wanapaswa kuchukua hatua za kiusalama mojawapo nikuto disclose their natianlities...Majinga sana haya maisrael laiti wangejua Zanzibar kuna watu kadhaa wenye itikadi zao kali yasingejifanya ni mayahudi
Unaishi maisha ya kukariri na kifua chako kimejazwa chuki uliyoimeza kwa hiyari yako.Nikikuuliza:Ni nini kibaya Waizraeli wamekufanyia wewe kama wewe utatusaidia jibu?
 
Kwanza kwasasa hao mayahud ni majinga.... Sehem nyingi duniani wanapoenda wanajificha uraia wao hasa kwa kile kinachoendelea uko kwao...Nchi km France au Germany waisrael wanaficha uraia wao sembuse eneo km Zanzibar ambalo lina Waislamu wengi... Mie nisingeshangaa baada ya wao kujitanbulisha km mayahudi watu wangepita nao kusikojulikana maana ata Balozi zao wamewaambia ktk hili sakata la Vita vyao na mgogoro wa Iran waisrael wanapaswa kuchukua hatua za kiusalama mojawapo nikuto disclose their natianlities...Majinga sana haya maisrael laiti wangejua Zanzibar kuna watu kadhaa wenye itikadi zao kali yasingejifanya ni mayahudi
Anaficha uraia wake vipi wakati ana Passport ya Israel.Hiyo hotel waneenda ni ya kitalii ya hadhi ya juu ambayo hungry kienyeji kama guest House za uswahilini kuficha taarifa zako.Na walienda hotel kubwa wakijua inazingatia maadili ya kibiashara kumbe hamna kitu.Hiyo hotel itapata changamoto ya kupata watalii hasa wazungu .
 
Sisi watanzania kwetu mtu kulalamika ni sawa na kuleta fujo. Sisi ukifanyiwa chochote hata kama kimekuudhi, ukiulizwa vipi unasema "safi tuu". Wenzetu wanajua haki zao na wanapoona zinakiukwa hawakai kimya, sisi tunawaona wakorofi.
Sahihi, wenzetu wakilipa pesa yao wanataka huduma bora, mtoa huduma ukizungua lazima mzinguane hapo hapo na hata hiyo pesa utaitapika.
 
Kwahiyo wangetokea wageni wengine wakasema tuko concerned na usalama wetu kwasababu room number 3 na 4 kuna waisrael ingekuwa sawa management ya hotel kuwaondoa hao waisrael ili hao wageni wengine wasiwe concerned ?

Mnakuwa mnakula matope ambayo yanafanya msiwaze sawasawa?
Kwanza hao wageni wengine wangejuaje hizo rooms zina WaIsrael ??
 
Anaficha uraia wake vipi wakati ana Passport ya Israel.Hiyo hotel waneenda ni ya kitalii ya hadhi ya juu ambayo hungry kienyeji kama guest House za uswahilini kuficha taarifa zako.Na walienda hotel kubwa wakijua inazingatia maadili ya kibiashara kumbe hamna kitu.Hiyo hotel itapata changamoto ya kupata watalii hasa wazungu .
Ni kweli wengi wa Waizraeli huficha utaifa wao wawapo nje ya kwao hasa mataifa "yaliyojipa" uadui nao.Tatizo huja kwa "Wapalestina wa Nalyendele" na wao kujitwisha chuki kwa Waizraeli. Kazi zinawashinda wanabaki kuangalia nani atakuwa Muizraeli.
 
Bro narudia tena, hamuwajui waisraeli linapokuja suala la utoaji huduma, hasa wakiwa kwenye nchi za watu... Na kuna biashara ukizifanya si kila lalamiko la kulisikiliza,

Nakupa mfano sababu nimekutana navyo kuanzia ya hao waisraeli, na ndugu zao wengine wa kuitwa watalii

Mgeni anakuja anakuambia "samahani Manager pale, pale restaurant kuna watu (wageni wenzao) wanapiga kelele, na sisi hatutaki kelele, sababu tumelipa pesa nyingi ili tuje upumzike, na sio kusikiliza kelele"

halafu unakuta hizo kelele wala si za kumfanya mtu akwazike ni vile tu hataki kusikia anachoongea mwengine

Ukiangalia ni kweli amekuja kupumzika, lakini lile ni eneo ambalo ni public kwa wageni wote, wapo free kufanya wanachotaka ila tu wasivunje sheria...
Mtakuwa mliwaamisha Hotel yenu ni kubwaaa kwenye marketing au website yenu wanafika wanakuta watu wanapishana kwenye corridor kiubavu ubavu halafu humo humo wanabishana mipira ambayo wao hata hawaijui, au mnafanyia birthdays na vi kitchen parties, hapo lazima pachimbike.
 
Na ndio tabia ya waisraeli, ni wasumbufu sana, wanapenda fujo, wajiona ni watu special sana, wanapenda kuwatawala watoa huduma, kila anachotaka umpatie
Wanapenda fujo, Wanapenda kujiona. Kikundi kinachopenda kujiona special popote pale duniani hata kama wao ni wachache nadhani deep down unakifahamu vizuri ila basi tu.
 
Basi na wengine wasipande gari zenye bendera za Israel, kwakuwa wanaua watoto na wanawake wasio na hatia huko Palestine
Kwani yale makombora zaidi ya 2000 yaliyorushwa na HAMAS yaliua kina nani?
 
Manager is a neutral point, Hotel inahudumia wato wote, hapaswi ku engage na hayo Mambo, ni Mpumbavu kabisa.
Yani waTZ mnaufinyu wa Ubongo....Hotel ni ya mtu kajenga kwa ela zake yani umpangie nini afanye kwenye biashara yake as if ni Hotel ya Serikali?.. Hivi kuandika "FREE PALESTINE" nalo ni tusi...Mbona tunajishusha akili zetu... Leo hii watoto wakipakestina zaidi ya 14,000 wameuliwa uko uyu mwenye hotel anafikisha ujumbe tu binadamu wote ni sawa.. Wala hakuwa amewafukuza zaidi walileta kero tu apo ivi Ukienda Ulaya kwenye mahotel makubwa ukakutana na mabango yanayowapa uhuru mashoga na ndo yamejaa utafanya fujo kwa meneja?? Ukikwazika siunatafuta hotel nyingine.... Hivi hujawai kwenda Guest alafu ukakuta wameweka condom na Bible chumbani ivi km una akili timamu hua hukwaziki? Mbona hujafanya fujo
 
Back
Top Bottom