TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
huyo meneja wa hotel ni mpuuzi aelimishwe biashara yenye kuhitaji wateja mchanganyiko haiendeshwi kwa mihemko ya kushabikia magenge ya kigaidi/kisiasa/kidini na mengine mengi yawe huru. Biashara inataka uwe unavutia kila mteja, usiwaudhi wateja
Watu wengi hawajui tofauti kati ya MENEJA wa biashara na MFANYABIASHARA. Wengi wanadhani meneja ni mfanyabiashara! Kumbe meneja yeye ni MSIMAMIZI wa biashara na wala sio MFANYABIASHARA, maana yeye hajawekeza chochote kwenye hiyo biashara. Ndio maana kwa meneja anaweza kuona kama kumpoteza mteja au kumfukuza ni sawa tu manake yeye mshahara wake uko pale pale. Ila nna uhakika kama mwenye hoteli angekuwepo eneo la tukio, hii kesi wala isingefika kwenye vyombo vya habari.