Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana.Ni mambo ya kuzingatiwa na kuwa nayo makini mnoo.Baniani mbaya,kiatu chake "mapato mazuri ya dolari za utalii"/dawa.Hiyo sasa ni Ant Semitism! Na inaonekana huenda kwa kujua ni Waisraeli,meneja amebandika stika hiyo ili kuwaudhi.Lakini hata kama walichukia wasingetimuliwa ndani ya Hotel.
Tuwe makini tusije kuharibu soko letu la Watalii.
Ukiigusa Israel umeigusa US,UK,umegusa nchi za jumuia ya Uraya,EU!
Zinaweza kuzuia Watalii wasije.
SahihiHotel au sehemu yenye kutoa huduma kwa watu wenye itikadi,imani,maono mchanganyiko unawekaje vitu vitakavyowakwaza?Kutokujielewa huko na kuharibu biashara.
Hahahahaha watazimia.Watashangaa wakikutana na bajaji na mabus yenye picha za Osama Bin Laden
Kufukuza watalii kwa kuhoji vipi hapo? Wako kwenye vita na Palestina.Hapo hotelini waweza hisi kuna wapiganaji wa palestina kwa hiyo mrseji ya free Palestine. Hoteli iliyakiwa kutumia hekima kuwa slogans zozote au magari yenye maneno kama hayo yasiingie hotelini au wenyewe wayabandueKama ni Gari BINAFS la meneja sio issue sana ila kam ni gari la ki ofisi meneja amekosea
Watanzania huwa wanafanya vitu sensitive kwa aidha kujifurahisha,kupigana vijembe au mara chache sana kumaanisha kweli wakifanyacho bila kujua ni matokeo gani yatajiri mbeleni.Kuna mambo siyo ya kufanya au kuonesha tu bila kupima na kutabiri matokeo.We've to be professionals rather than amateurs. Going by the book/directives!Hahahahaha watazimia.
Hawajajifunza kwa yaliyotokea kwenye hoteli ya muizraeli kule Mombasa.Kufukuza watalii kwa kuhoji vipi hapo? Wako kwenye vita na Palestina.Hapo hotelini waweza hisi kuna wapiganaji wa palestina kwa hiyo mrseji ya free Palestine. Hoteli iliyakiwa kutumia hekima kuwa slogans zozote au magari yenye maneno kama hayo yasiingie hotelini au wenyewe wayabandue
Hapo ni sehemu ya biashara
Ndio hichohicho, complaining ya nini? Wangehama tu hoteli, simple...."after complaining"...!Kwani kwa tafsiri ya lugha hapo ndiyo kuanzisha fujo.Au maana ya fujo ni ipi hasa siku hizi?
Kama walipingia walishalipia tayari mfano siku kumi .Wakitaka kuondoka na kudai refund unafikiri bila kutoa sababu za msingi wangerejeshewa hela zao ili wahamie hoteli nyingine?Ndio hichohicho, complaining ya nini? Wangehama tu hoteli, simple.
🤣🤣🤣🤣Kuna tofauti ya malezi,makuzi na mazoea kutoka jamii moja hadi nyingine hasa wazungu,waafrika na mongloids.Wazungu(jumlisha na waizraeli)si watu wa kunyamazia/quit jambo au kunyongea popote.Huuliza na kudadisi.Very inquisitives!Kunyamaza na unyonge ni kwa waafrika,mongloids na waasia baadhi.Ndio hichohicho, complaining ya nini? Wangehama tu hoteli, simple.
Anasema "mazayuni" makorofi.😂😂😂FaizaFoxy anasemaje?
Tatizo mnaweka hisia zenu za kidini katika hili, post yako kabla ya hii inajieleza kuhusu wewe.Kama walipingia walishalipia tayari mfano siku kumi .Wakitaka kuondoka na kudai refund unafikiri bila kutoa sababu za msingi wangerejeshewa hela zao ili wahamie hoteli nyingine?
Duh!😂😂😂😂😂Hiyo Hotel hawajielewi mimi hata duka nikiona lina maneno free Palestine siingii najua ni duka la Magaidi wa Hamas kununua kitu hapo ni kuwachabgia pesa Hamas
Hilo halina shida, ila sio kwenye nchi za watu unataka kuwapangia watu namna ya kuishi.🤣🤣🤣🤣Kuna tofauti ya malezi,makuzi na mazoea kutoka jamii moja hadi nyingine hasa wazungu,waafrika na mongloids.Wazungu(jumlisha na waizraeli)si watu wa kunyamazia/quit jambo au kunyongea popote.Huuliza na kudadisi.Very inquisitives!Kunyamaza na unyonge ni kwa waafrika,mongloids na waasia baadhi.
Na ndio tabia ya waisraeli, ni wasumbufu sana, wanapenda fujo, wajiona ni watu special sana, wanapenda kuwatawala watoa huduma, kila anachotaka umpatieWatu wanajisahau sana, kama hawakupendezwa na hilo wangehama hoteli kimyakimya na sio kuanzisha fujo. Upo nchi za watu unataka kupangia watu maisha?
Basi na wengine wasipande gari zenye bendera za Israel, kwakuwa wanaua watoto na wanawake wasio na hatia huko PalestineHiyo Hotel hawajielewi mimi hata duka nikiona lina maneno free Palestine siingii najua ni duka la Magaidi wa Hamas kununua kitu hapo ni kuwachabgia pesa Hamas
Hata kama ni gari binafsi la meneja naona atakuwa kakosea.Yeye ni meneja/individual. Sawa.Lakini,akumbuke amefika eneo la kazi ambalo anatakiwa ahudumie watu wenye imani,misimamo,itikadi na maono tofautitofauti. Kwa mfano,mteja Muizraeli akipatwa na dharula kiafya(au chochote)itakayohitaji apate usafiri,atakabali kutumia hilo gari kweli?Na tunajua watalii wengi Zanzibar siyo Wapalestina.Ni haohao "wazungu na waizraeli" anaowakwaza.