nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,622
hazikutoshiiKuna mengi mazuri yenye faida kwa Taifa letu anayoongea Rais wetu Mhe.John Pombe Magufuli , lakini kuna baadhi ya watu ambao naweza kuwaita ni wachochezi ambao wananukuu ka kipengele kadogo na kuanza kumshambulia Rais.
Tafadhali tuulishe umma mambo yenye faida ambayo watanzania watanufaika nayo si kuandika mambo negative kwa Rais.
Kwanza mengine Rais anayaongea kama kufurahisha tu . Tafadhali watu wenye tabia hizi waache.
mkuu unataka kutuambia huwa anatoa hotuba tofauti na aliyoandikiwa?Naomba sana sana asome hotuba aliyoandikiwa.
UMETUMWA..Kuna mengi mazuri yenye faida kwa Taifa letu anayoongea Rais wetu Mhe.John Pombe Magufuli , lakini kuna baadhi ya watu ambao naweza kuwaita ni wachochezi ambao wananukuu ka kipengele kadogo na kuanza kumshambulia Rais.
Tafadhali tuulishe umma mambo yenye faida ambayo watanzania watanufaika nayo si kuandika mambo negative kwa Rais.
Kwanza mengine Rais anayaongea kama kufurahisha tu . Tafadhali watu wenye tabia hizi waache.
Hahahahaaa.....ukiripoti kauli unakuwa mchocheziKwanini akiyaongea rais ni kufurahisha, alafu ukimnukuu ni uchochezi?