A big YES...mtu anachukua kipande cha hotuba na kutoa tafsiri...Hiyo ndiyo PROPAGANDA...Goebbels wakati wa Hitler aliweza sana hii...alikuwa ni waziri wa PROPAGANDA...kinachofanyika sasa na wapinzani ni kuchukua vile vipande vya hotuba vya JPM na kuvijengea hoja...mambo ya msingi katika hotuba yake wanayaacha ....kwa mfano wanachukua lile la utani kwa wahehe la kujinyonga au lile la polisi trafiki toeni matairi ya magari au lile la polisi kuchukua pesa kwa ajili ya dawa ya viatu....au mimi anipe angalau dakika tano...mambo mengine yote ya msingi katika hotuba za JPM yanaachwa kwa mfano kupigania amani, maendeleo kwa wananchi, uzalendo, nidhamu kazini, kuipenda nchi, vita dhidi ya ufisadi, heshima, uadilfu, na kadhalika....Sasa bahati mbaya wasaidizi wa Rais wengi nadhani ni vijana au hawana upeo mkubwa wa masuala haya ya PROPAGANDA, hawana mikakati mizuri kupambana na mbinu hizi za wapinzani...lakini nakwambia ni rahisi mno kupambana na propaganda za upinzani kwa watu wanaofahamu propaganda..na kama atawatumia watu wanaojua propaganda ni rahisi mno kuuzika upinzani...kwanini??? kwa sababu ni rahisi ku-foresee wapinzani watakuja na jambo gani dhidi ya hoja za serikali au JPM...