Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Kwani nani amemzuia kufanya kazi? Nani mwenye uwezo huo, kama ana uwezo wa kumshughulikia mtu ndani ya dk 5 kuna mtu wa kumzuia kufanya kazi? Na kulalama kunamzuiaje kufanya kazi. Kabla ya kupost soma kwanza ulichoandika na kutafakari mkuu!Tumuache mh afanye kazi,kwan Watanzania tumekua watu wakulalama kila siku?
Watz wenzetu wametuingiza chaka tunaisoma namba woteeMbaya sana,halafu MTU huyo kila apitapo anaomba aombewe Kwa mungu.Mungu gani huyo wa kulipa visasi?
Wewe poteza muda kuzidi kufikiri ba kutaka fabricate vitu visipokuwepo. Ukiwa Rais laxima uheshimike na si kuchezewazewa kulipotufikisha hapa leo hii. Sasa ni iazi ha nidhamu tu!Mimi bado natafakari kauli ya juzi ya Mtukufu rais akimwambia Shein kwamba akimshindwa mtu amwambie yeye, na hazitapita hata dakika 5!
Hivi anamaanisha ndani ya dakika 5 atamfanya nini huyo mtu? Mi bado naona mapichapicha ambayo siyaelewi!!
Sawa kabisa haiwezekani ntu adie na nidhamu akatensewa sawa na mtu nwenye nidhamu big NO!Hivyo siyo visasi ni kuondoa tatizo. Asiye na nidhamu au uadilifu atatumbuliwa. Watumishi wa umma walijisahau sana wakawa mabosi wa wananchi badala ya wahudumu wao.
Mimi bado natafakari kauli ya juzi ya Mtukufu rais akimwambia Shein kwamba akimshindwa mtu amwambie yeye, na hazitapita hata dakika 5!
labda nahisi atafanya kama alivyofanyiwa lissu na viongozi wengine wa upinzani walipojaribu kumkosoa.
Aombewe aache visasi na ubabe usio na tijaMbaya sana,halafu MTU huyo kila apitapo anaomba aombewe Kwa mungu.Mungu gani huyo wa kulipa visasi?
Anafanya Kazi kwa dk 5 tuTumuache mh afanye kazi,kwan Watanzania tumekua watu wakulalama kila siku?
Anamuondolea ulinzi,anamzuia kutoka nyumbani kwake,anakata simu zote kwa usalama wa nchi tuMkuu anamshughulikiaje?
Hivi mtu anaweza kukuchafua kwa kunukuu maneno yako?
A big YES...mtu anachukua kipande cha hotuba na kutoa tafsiri...Hiyo ndiyo PROPAGANDA...Goebbels wakati wa Hitler aliweza sana hii...alikuwa ni waziri wa PROPAGANDA...kinachofanyika sasa na wapinzani ni kuchukua vile vipande vya hotuba vya JPM na kuvijengea hoja...mambo ya msingi katika hotuba yake wanayaacha ....kwa mfano wanachukua lile la utani kwa wahehe la kujinyonga au lile la polisi trafiki toeni matairi ya magari au lile la polisi kuchukua pesa kwa ajili ya dawa ya viatu....au mimi anipe angalau dakika tano...mambo mengine yote ya msingi katika hotuba za JPM yanaachwa kwa mfano kupigania amani, maendeleo kwa wananchi, uzalendo, nidhamu kazini, kuipenda nchi, vita dhidi ya ufisadi, heshima, uadilfu, na kadhalika....Sasa bahati mbaya wasaidizi wa Rais wengi nadhani ni vijana au hawana upeo mkubwa wa masuala haya ya PROPAGANDA, hawana mikakati mizuri kupambana na mbinu hizi za wapinzani...lakini nakwambia ni rahisi mno kupambana na propaganda za upinzani kwa watu wanaofahamu propaganda..na kama atawatumia watu wanaojua propaganda ni rahisi mno kuuzika upinzani...kwanini??? kwa sababu ni rahisi ku-foresee wapinzani watakuja na jambo gani dhidi ya hoja za serikali au JPM...
TAMKO LIPI MKUUJamani si tulisema huyu mtu awe anasoma hotuba anazoandikiwa unaona sasa hilo tamko lake badala ya kujenga umoja wa wazanzibari linazidi kuwatenganisha
ACHA KUROPOKANyie wazanzibar kwendeni huko tuachieni Tanganyika yetu..
Mmh faza upo?Ningehakikishiwa usalama wa id yangu humu jf ningetoboa makandokando yote ya watu aina ya malaika watakatifu ila hapa ndo tupo gizani wakosoaji tunawindwa usiku na mchana. Mungu awalaani wote wenye mioyo ya chuki kwa wanadamu wenzao.
Nipo mjomba, shusha data tuelimike.Mmh faza upo?
wao wako radhi na uongo wa seif tu ! .......maana wapemba wanaamini PEMBA itakuwa dubai bila kufanya kazi