Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Nadhani ni wa Manyema huyuChirwa ni mchezaji wa Simba au URA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani ni wa Manyema huyuChirwa ni mchezaji wa Simba au URA?
Leo kumetulia mjini aiseeHatimae mfupa uliomshinda Simba Yanga utauweza ? Hatimae Yanga ya Tanzania Leo imelipwa Malipo yake Kwa kubamizwa na URA ya Uganda.
Ni kichekesho Yanga iliyotolewa nusu fainali kuja kuicheka timu itayofungwa kwenye fainali. Ni kichekesho zaidi kwa aliyetolewa kwenye hatua ya makundi kwa kufungwa mechi mbili mfululizo na kushinda moja tu kuicheka timu iliyofungwa kwa changamoto ya mafuta kwenye nusu fainali!Hayawi hayawi yamekuwa.
ilichukua kombe so tu kufika fainaliKwani Simba nayo ilifika nusu Fainali?
Hee! kwa hiyo 2018 bingwa ni Simba?ilichukua kombe so tu kufika fainali
Kumbuka yanga Ni miongoni mwa mshindi wa tatu Kati ya washing wawili ambao Ni yanga na singidaHatimae mfupa uliomshinda Simba Yanga utauweza ? Hatimae Yanga ya Tanzania Leo imelipwa Malipo yake Kwa kubamizwa na URA ya Uganda.
Huo ni ufinyu wa mawazo. Inawezekana kejeli za Washabiki wa Yanga zikapungua kidogo kwa kushindwa kuifunga timu iliyomfunga mpinzani wake, ingawa bado wao wana nafasi ya kejeli hiyo kwa kuwa mpinzani wake alifungwa ndani ya dakika tisini za mchezo. Lakini kutolewa kwenye nusu fainali kwa njia ya matuta hakufuti aibu ya Simba ya kuambulia alama 4 kati ya 12 kwenye hatua za makundi na kuishia hukohuko. Wala hakufuti mafanikio ya Yanga kuambulia alama 10 kati ya 12 na kuingia nusu fainali. Wala kutolewa kwa Yanga hakuifutii Simba aibu ya wachezaji wake kususia benchi baada ya kutolewa na kocha baada ya kufungwa ndani ya dakika 90 za mchezo; ile picha ya Manara akimbembeleza Kichuya asije akaenda Yanga huku Kichuya akiendelea kufurahia mziki wa kwenye simu haiwezi kufutika kwa Chirwa kukosa penalti.Sikutegemea Yanga kuitoa timu iliyoitoa Simba.
Kufungwa ni kufungwa tu!!! Unaambulia zero point!!!!! Anayelia mwisho hulia zaidi!!!!Huo ni ufinyu wa mawazo. Inawezekana kejeli za Washabiki wa Yanga zikapungua kidogo kwa kushindwa kuifunga timu iliyomfunga mpinzani wake, ingawa bado wao wana nafasi ya kejeli hiyo kwa kuwa mpinzani wake alifungwa ndani ya dakika tisini za mchezo. Lakini kutolewa kwenye nusu fainali kwa njia ya matuta hakufuti aibu ya Simba ya kuambulia alama 4 kati ya 12 kwenye hatua za makundi na kuishia hukohuko. Wala hakufuti mafanikio ya Yanga kuambulia alama 10 kati ya 12 na kuingia nusu fainali. Wala kutolewa kwa Yanga hakuifutii Simba aibu ya wachezaji wake kususia benchi baada ya kutolewa na kocha baada ya kufungwa ndani ya dakika 90 za mchezo; ile picha ya Manara akimbembeleza Kichuya asije akaenda Yanga huku Kichuya akiendelea kufurahia mziki wa kwenye simu haiwezi kufutika kwa Chirwa kukosa penalti.
Ukitaka kujua ukweli wa hilo, angalia mapokezi ya timu zote mbili zikirejea kutoka mashindanoni. Moja imezomewa na kulaaniwa na washabiki wake, nyengine itafarijiwa na kupewa pole. Isidhaniwe kwamba penalti aliyokosa Chirwa itafuta majonzi ya wana Simba au kuondoa kumbukumbu za zomeazomea ile akilini, mawazoni na maishani mwao; yaguju!
swali la msingi ni la kihistoria halikutaja mwaka nami nimepatiamo humoHee! kwa hiyo 2018 bingwa ni Simba?
Huo ni mwendelezo wa ufinyu wa mawazo. Pointi hutolewa kwenye mechi za ligi tu. Ndio maana hata sare inatosha kwenye hatua hiyo; hakuongezwi muda wala kupigianwa penalti. Ikifika hatua ya mtoano huwa hakuna pointi tena, ndiyo maana kunapigianwa penalti iwapo mechi inaishia kwa sare. Kwa hivyo si kweli kuwa wote wameambulia pointi zero. Ukweli pekee unaoweza kuwa umeusema ni wa mwisho kulia sana. Aliyetolewa karibu zaidi na ubingwa lazima atalia zaidi ya aliyetolewa kwenye hatua za awali.Kufungwa ni kufungwa tu!!! Unaambulia zero point!!!!! Anayelia mwisho hulia zaidi!!!!