johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Zanzibar walikuwa wanapimia Dar es salaam!Sasa sielewi kabisa kuhusu hizi mashine kumbe na ya ZNZ ilikuwa inazingua
Ndio maana yake bwashee!Nchini Zanzibar
Ndio maana yake bwashee!Nchini Zanzibar
Yes ifanyiwe calibration kwa madoriani na mashokishoki.Inabidi watalaam wetu wajiridhishe nayo kwanza, waicheki na kuuidhinisha ndio ianze kutumiwa...Hawa mabeberu hawaaminiki..
Waangalie na madangulo ya mabwabwa ...maana waitaliano wale si ndio walasambazia huko upendo.Bora aisee. ....... Zanzibar wataokoa utalii wao, kwa maana utalii baada au kipindi hiki cha Corona 100% unategemea ni kwa kiasi gani wageni wana imani na hali ya nchi inaweza kuhakikisha usalama wao kwa sasa tunaweza waona Kenya mafala kwa kutoa namba za wagonjwa, vifo na waliopona ila utalii ukifunguka tutawaelewa.... kurejesha utalii sio kufungua mipaka ya nchi tu inahitaji transparency, trust and good reputation .
Bahati mbaya sana tumebaki na mabeberu weusi ambao wataiharibu mashine kwa makusudi ili ionekane haifai, utasikia imepelekewa oil chafu na mafenesiInabidi watalaam wetu wajiridhishe nayo kwanza, waicheki na kuuidhinisha ndio ianze kutumiwa...Hawa mabeberu hawaaminiki..
Cha muhimu ni mali ya SMZ!Wamenunua wao au wamenunuliwa na Rostam? tuwekane clear kwenye hili