Kuambizana ukweli nao ni muhimu. Wananchi wajue priority ya serikali ni kushibisha matumbo yao na kusubiria matajari wajitolee.Cha muhimu ni mali ya SMZ!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuambizana ukweli nao ni muhimu. Wananchi wajue priority ya serikali ni kushibisha matumbo yao na kusubiria matajari wajitolee.Cha muhimu ni mali ya SMZ!
Bora tena juha wewe ni chapati. Kuna pahala nimesema nimenunua mimi? Muache viherehere vya kijijini vya kutaka kutuonesha nani kanunua. Hongera znz kwa kupata mashine ya kupimiaSasa juha mimi au wewe? kitu kimenunuliwa na mtu mwengine afu unajinadi umenunua wewe?
Hujaelewa ata context ya swali maskini. Kweli bora mie kuliko wewe 😀 haya ngoja nkutafunie.Bora tena juha wewe ni chapati. Kuna pahala nimesema nimenunua mimi? Muache viherehere vya kijijini vya kutaka kutuonesha nani kanunua. Hongera znz kwa kupata mashine ya kupimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika gani mashine inayozungumziwa ndio hiyo ya Aziz?!Hujaelewa ata context ya swali maskini. Kweli bora mie kuliko wewe 😀 haya ngoja nkutafunie.
Serikali imesema kuwa IMENUNUA wakati kumbe mashine IMENUNULIWA NA MTU MWENGINE. Itasemaje IMENUNUA wakati IMENUNULIWA na mtu binafsi?
Ushaelewa sasa Juha kalulu?
We chapati embu rudia tenaHujaelewa ata context ya swali maskini. Kweli bora mie kuliko wewe 😀 haya ngoja nkutafunie.
Serikali imesema kuwa IMENUNUA wakati kumbe mashine IMENUNULIWA NA MTU MWENGINE. Itasemaje IMENUNUA wakati IMENUNULIWA na mtu binafsi?
Ushaelewa sasa Juha kalulu?
Hawa watoto wana tabu sana. Wanataka waonekane wanajuaaUna uhakika gani mashine inayozungumziwa ndio hiyo ya Aziz?!
ZNZ walikuwa wanatutegemea WADANGANYIKASasa sielewi kabisa kuhusu hizi mashine kumbe na ya ZNZ ilikuwa inazingua
Wanaepuka na janja janja inayofanywa huku Tanzania Bara.........Waziri wa afya wa Zanzibar mh Hamad Rashid amesema Zanzibar imeamua kununua mashine yake ya kupimia maambukizi ya Covid 19 ili kurahisisha upimaji na kupata vipimo kwa wakati.
Mh Hamad amesema mashine hiyo itawasili nchini Zanzibar kesho na baada ya kufungwa takwimu zitaendelea kutolewa kwa wakati bila kusitisha sitisha.
Source: BBC Dira ya Dunia
Maendeleo hayana vyama!
Jiwe na timu yake hawawezi kuelewa hii.Bora aisee. ....... Zanzibar wataokoa utalii wao, kwa maana utalii baada au kipindi hiki cha Corona 100% unategemea ni kwa kiasi gani wageni wana imani na hali ya nchi inaweza kuhakikisha usalama wao kwa sasa tunaweza waona Kenya mafala kwa kutoa namba za wagonjwa, vifo na waliopona ila utalii ukifunguka tutawaelewa.... kurejesha utalii sio kufungua mipaka ya nchi tu inahitaji transparency, trust and good reputation .
Zanzibar hawana uwezo wakununua mashine kwani kila kitu wanapangiwa bara hawana mamlaka ya kujiamulia wao maana Rais wanachaguliwa Dodoma makao makuu ya ccmUna uhakika gani mashine inayozungumziwa ndio hiyo ya Aziz?!
Juzi nilimsikia Waziri anasema kua kwa kua watu walikua wamefungiwa ndani wakitoka watakua na hamu ya kusafiri hivyo tufungue mipaka na kuondoa mandatory quarantine ya siku 14.... hiyo ndio solution pekee waliyoiona
Basi Zanzibar imenunuliwa hiyo mashine na BABA yako mpe salamu zetu twamshukut sana!Zanzibar hawana uwezo wakununua mashine kwani kila kitu wanapangiwa bara hawana mamlaka ya kujiamulia wao maana Rais wanachaguliwa Dodoma makao makuu ya ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali yenyewe imemuomba. Sasa kama walikuwa wanauwezo, walimuombea nini?Una uhakika gani mashine inayozungumziwa ndio hiyo ya Aziz?!