Zanzibar yanunua mashine yake ya kupimia sampuli za COVID19, itapokelewa visiwani humo kesho

Hii si ndo Rostam alisema atanunua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi ya Zanzibar wanajielewa sana ukilinganisha na nchi ya Tanganyika
 
Hiyo mashine ni feki..... Itupwe baharini, tuendelee na nyungu mpaka kieleweke
 
inaonekana maabara ya hapa kwetu ilikuwa inawawekea ngumu..bora wenzentu ZNZ walau wanajielewa kidogo
 
Huku bara kina Makonda wanapiga porojo,Zanzibar ni nchi.......naanza kuona Pinda aliteleza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…