Zanzibar yanunua mashine yake ya kupimia sampuli za COVID19, itapokelewa visiwani humo kesho

Bora tena juha wewe ni chapati. Kuna pahala nimesema nimenunua mimi? Muache viherehere vya kijijini vya kutaka kutuonesha nani kanunua. Hongera znz kwa kupata mashine ya kupimia

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaelewa ata context ya swali maskini. Kweli bora mie kuliko wewe 😀 haya ngoja nkutafunie.

Serikali imesema kuwa IMENUNUA wakati kumbe mashine IMENUNULIWA NA MTU MWENGINE. Itasemaje IMENUNUA wakati IMENUNULIWA na mtu binafsi?

Ushaelewa sasa Juha kalulu?
 
Una uhakika gani mashine inayozungumziwa ndio hiyo ya Aziz?!
 
We chapati embu rudia tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SAAFI SANA,ZNZIBAR...NA HUKU ZANZIBARA(TANGANYIKA) SERIKALI YA HUKU BARA IJITAHIDI KUNUNUA ANGALAO MASHINE MOJA MOJA KWA KILA HOSPITAL YA KANDA KWA AJILI YA KUPIMIA CORONA.BADALA YA KUTEGEMEA MACHINE ILIYOPO DSM PEKE YAKE KWA NCHI NZIMA..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaepuka na janja janja inayofanywa huku Tanzania Bara.........

Unajua kuwa hapo kabla walikuwa wakileta sampuli zao zote ili zipimiwe Dar
 
Jiwe na timu yake hawawezi kuelewa hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiwe na timu yake hawawezi kuelewa hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi nilimsikia Waziri anasema kua kwa kua watu walikua wamefungiwa ndani wakitoka watakua na hamu ya kusafiri hivyo tufungue mipaka na kuondoa mandatory quarantine ya siku 14.... hiyo ndio solution pekee waliyoiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…