Zanzibar yatangaza bei mpya za umeme

Haya ndiyo mambo yanayogusa maisha ya mwananchi wa hali ya chini.
Dr. Mwinyi ....mitano tena!
 
Ngoja nihamie zanzibar kabla ya muungano haujavunjika.
 
Sababu ya kushuka wamesema ni kutokana na kukamilika Kwa mradi wa JNHEPP lakini wakati huo mtanganyika anapandishiwa.charity begin at home under kizimkazi regime
 
WaTanganyika kwakweli tunazingua tuache uboya yan ng'ombe wetu lakini maziwa wanakunywa Wazenji
 
mbona habari za mitaani nasikia kuwa bei imepanda?

na mtu anatumiaje unit 50 mwezi mzima? hivi hiyo ni nyumba kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ