mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,040
- 2,428
Umeme unit 50 ni mwingi sana aisee,imagine mimi huwasha friji masaa 12 kila siku,natumia jiko la umeme lile dogo la kichina kupasha vitu vya muda mfupi,taa za nje na ndani,tv mara nyingi iko on,kunyoosha mara moja kwa wiki,sabufa. Pamoja na matumizi hayo yote ila kwa wastani natumia unit 1.5 kwa siku ambayo kwa mwezi ni unit 45-50.Au wewe mwenzetu una ac kila chumba!!??mbona habari za mitaani nasikia kuwa bei imepanda?
na mtu anatumiaje unit 50 mwezi mzima? hivi hiyo ni nyumba kweli?
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app